Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bro nlikua nafanya na mashirika haya concern worldwide, pathfinder,tika Africa, compassion international kutemebelea slums za Kenya especially Nairobi ndo ilikua first goal maana umaskin umekidhiri Sana 🙂
Ulifanya kwa NGOs hizo zote? Ama unaniona mjinga? Najua hizo NGOs na afadhali hata ungesema umefanya na NGO moja, sio NGOs kumi
 
Kama hujaaona aerial view hapo then I don't know what you understand by the word aerial view
JamiiForums-1368577224.jpg
 
Ukiwa humu unatetea hiyo unemployment rate ila ukiwa nje ya jamiiforums hiyo unemployment rate inakuumiza sana na huo ndio tunaita uzalendo maandazi.
Unemployment gani hyo na wakati vijana siku hizi wanafanya kazi mitaani na kulipwa
 
We huoni kama Hilo ni tatizo?mbona etegemee Nairobi wakati Nairobi ina sua sua? Kwa over population?mbona kikuyu isewe empowered ijitegemee kiviake? Issue kama hizi huwez ukapata bongo kila mkoa uko empowered kweli Tanzania ina ngaa kila Kona nakupenda milele🙂kijani,manjano,nyeusi na blue🇹🇿🇹🇿
I want you to look at it this way. Kikuyu is only 20 kilometers from Nairobi cbd. Niambie kama sehemu iko kilomita ishirini Kutoka Dar cbd haitegemei Dar kwa namna moja ama nyingine. Remember that boundaries ni vitu imewekwa na watu. There's no law that prohibited the drawers of these boundaries to include places like Kikuyu or Juja in Nairobi. They just deemed it fit that way. Nyinyi mlipoamua kuweka boundary ya Dar iwe kubwa hata kama sehemu nyingi ni vijijini ilikuwa ni wazo la waliochora hiyo mipaka. Nairobi might be is smaller in size but geographically it's much bigger than that so the administrative boundaries should not be a stumbling block to development of adjacent areas like Kikuyu.

Cha pili unafaa kuelewa ni kwamba Kikuyu inapatikana Kiambu county. Kiambu is the second richest county in Kenya after Nairobi and also the most developed after Nairobi so unaposema mtu wa Kikuyu anategemea Nairobi sijui unamaanisha nini. That alone should tell you that mtu wa Kikuyu is more empowered than most Dar residents. Mimi niliongelea kuhusu watu wanaoishi Kikuyu ila wanafanya kazi Nairobi. I didn't mean that the entire Kikuyu area residents depend entirely on Nairobi for their livelihoods. Learn to grasp certain simple things
 
Hii road mlikurupuka tu kuijenga, itawaumiza kuliko SGR na wala haitosaidia chochote kupunguza traffic km unabisha subiri uone, mana nyie huwa mnachelewa sn kuelewa
Expressway inajengwa kote kote kuanzia India, China, South Korea, Carlifonia, Texas e.t.c just because nyinyi ni washamba na hamna exposure ya kujua umuhimu wa expressway haimaanishi kwamba wanaojenga expressway dunia nzima ni wajinga na nyinyi pekee ndio werevu. Expressway ina umuhimu wake ndugu, fanya research kwenye internet.
 
Ulifanya kwa NGOs hizo zote? Ama unaniona mjinga? Najua hizo NGOs na afadhali hata ungesema umefanya na NGO moja, sio NGOs kumi
Tika nimefanya mwaka mmoja contract, pathfinder miez minane, concern worldwide miaka mitatu compassion ndo nimekaa sana 4 years mbona watu wamefanya mashirika Mia sababu hizi NGOs huwa ni mambo ya contract mkizinguana mnasonga mbele alafu kama CV yako nzuri Una advantage ama Hilo hujui?🙂
 
Hata mkiita super/mega na majina yakukuza maeneo Kenya bado Sana wadanganyeni watu ambao hawajafika Kenya Tanzania sio level yenu
Naona nishakutoa katika reli
Umeanza kuongea vitu ambavyo havieleweki sasa
 
Back
Top Bottom