🤣🤣🤣🤣 hatimae amekuja demu wangu ulikua wapi siku zoteNtawapa update. Relax uchiboy
Kuna mtu alisema kila baada ya miezi mitatu chumachakavu kinadondoka huko Kunya. Alisema ngoja tuone mwezi wa kwanza kama utaisha. Sasa yametimia.
Hivi haikuwa hii [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mtu alisema kila baada ya miezi mitatu chumachakavu kinadondoka huko Kunya. Alisema ngoja tuone mwezi wa kwanza kama utaisha. Sasa yametimia.
Ndo yale madege mnanunua kwa mafungu mwishowe yanaanguka daily? Yn ndege moja ya Tz unapata 100 za kenya.
[emoji3][emoji3]
Teargass[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Another one down [emoji2][emoji2]
Today 12 Jan 21, mid-morning, a Kenya Air Force aircraft, model Harbin Y-12, crashed in Voi, Taita Taveta County. The aircraft was from Moi Air Base, Eastleigh, Nairobi. Recovery efforts are underway.
View attachment 1675800
I Love Dar, its my city lakini tumekuwa wachafu mno, we are killing this city, huwezi ukawa na vitu namba hii downtown. Its time we change and give pride with our cities. Haya mambo ya hovyo kwa lugha ya wanyonge should end. We need proper cities, smart cities.
Yes, hawa kiberaminded itaelewa huwa tunawaambia nini.Teargass[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]View attachment 1675802
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndege na maghorofa kuanguka sasa imekuwa kawaida sana huko kwao
within two months tutegemee ghorofa au ndege kuanguka huko kwako! [emoji23]
Ndo hiyo, ww noma aisee sijui huwa unazipataje wallahi na nyingine hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hivi haikuwa hii [emoji23][emoji23][emoji23]
Hii hapa mkuu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna mtu alisema kila baada ya miezi mitatu chumachakavu kinadondoka huko Kunya. Alisema ngoja tuone mwezi wa kwanza kama utaisha. Sasa yametimia.
Noma [emoji23][emoji23][emoji23]Ndo hiyo, ww noma aisee sijui huwa unazipataje wallahi na nyingine hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1675817
Ndo yeye uyu au [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatimae amekuja demu wangu ulikua wapi siku zote
View attachment 1675799
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo jamaa katrend sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hatimae amekuja demu wangu ulikua wapi siku zote
View attachment 1675799
🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo jamaa katrend sana
Okay ngoja nikupe unazotaka. Tatizo lenu wengi wenu hamna masomo (especially you honey), that's only exchange rate darling..Unalinganisha currency za asia na afrika[emoji23][emoji23]
Akili zenu bado mgando sana, yani asia na afrika ni sehemu mbili tofauti sana yani wala hatuingiliana kivyovyote vile...
Twendeni kikanda km vile EA, tunaingilia vizuri tu[emoji23][emoji23]
Mfano mwngine ni north america, yani wale wajuba pia wanaingiliana vizuri..
Sio eti unalinganisha canada na france