Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma hapo kidogo ndiposa utaelewa kwnn kuna nchi ndogo ambazo currency ipo strong na kubwa zingine ambazo currency ipo weak..

Yani tangu mapema najaribu kuwaeleza currrncy hata mazingira pia huchangia, nyie bado mumekomaa na picha za minoti..

Mm sisomi huu upumbavu wako, kila siku mnasema kwmb pesa yenu ina thamani kuliko yetu na kwmb ndiyo kigezo mpo juu, ss hebu niambie nyinyi na Zambia vp? Nijibu hapo tu usiniletee upumbavu tafadhali.
 
Mm sisomi huu upumbavu wako, kila siku mnasema kwmb pesa yenu ina thamani kuliko yetu na kwmb ndiyo kigezo mpo juu, ss hebu niambie nyinyi na Zambia vp? Nijibu hapo tu usiniletee upumbavu tafadhali.
Sababu zetu zinaendana ndio manake tunawambia tupo juu yenu..
Ila kw zambia ipo juu kw factors tofauti km vile kuwait kw dollar ya marekani..

Kwhyo nyie sababu zenu kuwa weak ipo hapo nilipokuwekea, yani ni kufeli kwenu
 
Kenyan sponsors.
255745707110_status_6b5404cb9ce84feeab22d4086292f853.jpg
 
Soma hapo kidogo ndiposa utaelewa kwnn kuna nchi ndogo ambazo currency ipo strong na kubwa zingine ambazo currency ipo weak..

Yani tangu mapema najaribu kuwaeleza currrncy hata mazingira pia huchangia, nyie bado mumekomaa na picha za minoti..

Sasa mbona hutaki kukubali wa kenya kwa Currency yenu mnachoweza kula ni chapati na maharage yasiyoungwa kwa KSH 80 na Hamuwezi kula ugali nyama au samaki kwa currency yenu...
 
Jamani mnaikumbuka hii.
1642992_likonibr.jpg

Back
Top Bottom