Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Screenshot_20201230-225707_Chrome.jpg
we shine In all sectors lazima najua hii inawakera sana
 
A third meaning two thirds are okay not a bad rating better than being in the top 20 poorest countries in the world hehe tanzania is poor just that it its government builds structures that don't really add much to the economy and you call that development development is more than just infrustracture don't behave like a poor man who wears suits.....
We pumbu sikuelewi hata unaongea, hv kwnn nyie wakunya hamuwezi kujieleza iwe kwa English ama kiswahili.
 



A simple illustration of a failed state. Kuna vituko vingi sana aisee. Mfano, unaambiwa gharama ambayo jirani zetu mmetumia kujenga berths 3 za Lamu port iko sawa na ambayo sisi tumetumia kujenga berths 7 !!!!!!
 
Hamna jipya kila siku BRT, brt nyerere bridge na posta hvyo tu ndo mi huskia kila siku kufika kwenyu mbona musiongelee city kama innovation ama manufacturing vitu ambavyo vinaongeza raslimali
Ninyi hata chakula hamjitoshelezi mnakufa kwa njaa na kutegemea Chakula cha msaada katika karne hii, hovyo Karisa ninyi.
 
Unatumia WB data wakati inakufavour halafu unaipinga wakati haikufevi? Hebu leta data ya WB kuhusu electrification rates kati ya KE na TZ uone kwamba tumewadouble.
Naombeni ile world map ya electrification plz nataka niue mende kwa nyundo
 
Ivi upanuzi wa bandari ya dar ulimalizika?
Maana sikuizi sisikii chochote?
 
Eti bad boy dah, watu twajenga ma expressway watu wafurahia fly-over. Kweli viwango tofauti.
Huoni aibu kusema mnajenga?!Sema wachina wanajenga.Mtawachangia sana.Kama kwny SGR mnavyoliwa hapo sasa itakuwa mara kumi,Nyang'au ni Nyang'au tu hata umvishe suruali.
 
How is the above pictures related in any way with economic development? Wish you could have even posted the nyerere dam makes more sense because it will highly support the manfacturing sector
 
Back
Top Bottom