Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another one down 😃😃

Today 12 Jan 21, mid-morning, a Kenya Air Force aircraft, model Harbin Y-12, crashed in Voi, Taita Taveta County. The aircraft was from Moi Air Base, Eastleigh, Nairobi. Recovery efforts are underway.
 
sikiliza nugu kizibo.

hizo sifuri nyingi zisikuvuruge,unaona ulivyochanganyikiwa sasa.

tumekuwekea japan,korea,iraq humo humo tunakujaza na singaporeyawaaaa na sarafu yako ya maua,chaali.unalipukiwa na bomu ulilolihifadhi mwenyewe mvukoni.
Cut the bullshit compare your currency to Zimbabwe only not Asia !
 
Currency ya Tanzania in Purchase power kubwa kuliko fedha ya Kenya hili halina mjadala...

Chakula cha TZS 5000 hapa Tanzania Kenya wanauziwa KSH 2500...

Mkenya anayepisha kuwa Wakenya hushindia Chapati moja na Maharage ya KSH 80 anijibu
An intellectual dwarf posting nonsense,sounds like an electrocuted brain !
 
Another one down

Today 12 Jan 21, mid-morning, a Kenya Air Force aircraft, model Harbin Y-12, crashed in Voi, Taita Taveta County. The aircraft was from Moi Air Base, Eastleigh, Nairobi. Recovery efforts are underway.
aisee.
 
Kwhyo picha ya noti ndio imeshamaliza km inatumika mpka sasa
Akili za kibongo jamani, na mimi je nikikuletea noti ya elfu moja ya kenya ile ya zamani nitakua nimethibitisha km bado ipo
Ndio nimekuambia hiyo inatumiwa mpaka leo, kama una ushahidi kua haitumiki leta hapa
 
Elfu kumi kw bara la asia ni jambo la kawaida sana inaonyesha, ndio manake zi tele..
Kwhyo usilinganishe uchumi wa asia unavyokwenda na afrika, afrika km una noti ya elfu kumi wewe huna tofauti na mini-zimbabwe
Kwa hiyo Africa Hakuna note ya 10k au sielewi una maana gani?
 
Kwa hiyo Africa Hakuna note ya 10k au sielewi una maana gani?
Sasa unajifanya hukuelewa sio, mbona mnapenda kupindishapindisha vitu hivi..
We si uangalie kwanza nchi nyingi za afrika ambazo zina 10k huaga zipoje
 
Ndio nimekuambia hiyo inatumiwa mpaka leo, kama una ushahidi kua haitumiki leta hapa
Kwn wewe umekosa ushahidi wa kuonyesha ya kwamba inatumika..
Manake mleta mada aliposema wewe ulipinga, so unapaswa kufanya research kivyako uepukane na aibu
 
Kuna friend wangu alifanya electrical engineering without doing physics in form 3&4. Don't ask me how cause I don't know how he managed to do it

You must be confusing with an electrical technician. For electrical engineering I know, s/he could not even given the application form.
 
Sasa unajifanya hukuelewa sio, mbona mnapenda kupindishapindisha vitu hivi..
We si uangalie kwanza nchi nyingi za afrika ambazo zina 10k huaga zipoje
Hapo vipi?

s-l400.jpg
Sierra_Leone_BSL_10000_leones_2018.10.04_B128d_P33_GX_032448_f-465x224.jpg
smallmozambique20000meticaisp140-1999.jpg
10000-romanian-old-lei-banknote-nicolae-igora.jpg
 
Kwn wewe umekosa ushahidi wa kuonyesha ya kwamba inatumika..
Manake mleta mada aliposema wewe ulipinga, so unapaswa kufanya research kivyako uepukane na aibu
Kwahiyo hiyo note imechapwa sababu ya pambo? Unajielewa kweli?
 
Back
Top Bottom