komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Tatizo hzo nchi zote wanatii kwetuHizo nchi ulizozitaja mfano Ghana co failed state, Ethiopia japo nayo ni failed km nyie but tunaweza kuongea nao cz nao angalau wanafanya miradi km yetu, electric sgr, hydropower plant etc ila nyie sio size yetu sema tunawaliwaza tu![]()






mfano mwingine Luxembourg franc thamani yake iko Chini ya dollar lakin ni inchi tajiri kushinda America sasa mnaweza mkawa na pesa kubwa lakin ni useless kwa mwanachi wa kawaida,mfano hiyo buku Moja ya Kenya unaweza ukanunua nini kwenye supermarket zenu? Naivas,quickmat,chandaranas,eastmat? Tanzania sio level yenu kila siku nawambia,hizi jeuri na dharau zitakuja kuisha very soon Tanzania tunasonga mbwele







