komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Km unamlinganisha japan muweke na mswahiba zake akina china wala sio waafrika..point yako ni ipi sasa hapa kwa mfano[emoji16][emoji16][emoji16].
Upo?
Km unamlinganisha japan muweke na mswahiba zake akina china wala sio waafrika..point yako ni ipi sasa hapa kwa mfano[emoji16][emoji16][emoji16].
Only ignorant clowns don’t know SINGAPORE stop issuing 10000 denomination notes in 2014 and 1000 note in Nov 2020,Iraq is a failed state!How much in loans has tz given to another country coz you think larger denominations is a sign of wealth?you are a mini Zimbabwe!Haya mataifa yote huwa yanawapa misaada na wanayo 10k notes
View attachment 1675626View attachment 1675627View attachment 1675628
Kalinganisha kwa sababu ya mazingira si yanaendana tu, yani tz inapita mle mle zimbabewe alipopitia enzi zile..Ndio mnaambiwa Kenya bado Sana tukiweka vitu kwenye uhalisia unakuta nyie ni watu maneno mengi lakin sufuri kwenye vitendo muulize mwenzako mwenye kulinganisha sarafu ya Zimbabwe na bongo alafu upate jibu ya kwa nini tumetoa huo mfano [emoji846]
hapa tulikuwa tunaijadiri thamani ya pesa ya kenya[emoji38][emoji38]Km unamlinganisha japan muweke na mswahiba zake akina china wala sio waafrika..
Upo?
uongozi wa kiboya unakuchanganya wewe zaidi ya watz wenyewe,hujioni na tatizo kichwani!!!!!Kalinganisha kwa sababu ya mazingira si yanaendana tu, yani tz inapita mle mle zimbabewe alipopitia enzi zile..
Sio biashara, kiuchumi, currency uongozi wa kiboya..
Yani mbona nchi zinaendana tu na zipo afrika
Thamani ya pesa ya kenya inaendana na mazingira ya afrika tu[emoji23][emoji23]hapa tulikiwa tunaijadiri thamani ya pesa ya kenya[emoji38][emoji38]
kwahiyo tunaiweka na nduguze akina yen na won[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwhyo unawatetea ccm sio, mbona poa tu.uongozi wa kiboya unakuchanganya wewe zaidi ya watz wenyewe,hujioni na tatizo kichwani!!!!!
Ntawapa update. Relax uchiboy
sikiliza nugu kizibo.Only ignorance clowns don’t know SINGAPORE stop issuing 10000 denomination notes in 2014 and 1000 note in Nov 2020,Iraq is a failed state!How much in loans has tz given to another country coz you think larger denominations is a sign of wealth?you are a mini Zimbabwe!
siwatetei,swala langu mimi,ni wewe kuumizwa na utawala wa tz[emoji23][emoji23][emoji23]how!!!!!Kwhyo unawatetea ccm sio, mbona poa tu.
Lkn ujue mwnye macho haambiwi tazama
Sufuri nyingi kw mazingira ya afrika ni hatari sana[emoji23][emoji23]sikiliza nugu kizibo.
hizo sifuri nyingi zisikuvuruge,unaona ulivyochanaganyikiwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23].
tumekuwekea japan,korea,iraq humo humo tunakujaza na singapore[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yawaaaa na sarafu yako ya maua,chaali.unalipukiwa na pomu ililolihifadhi mwenyewe mvukoni[emoji23][emoji23][emoji23].
Unateseka ukiwa wapi mwenzangu, manake naona hko mini-ZIM ni kunoma sana..siwatetei,swala langu mimi,ni wewe kuumizwa na utawala wa tz[emoji23][emoji23][emoji23]how!!!!!
Do l know you ?l guess not, stop yapping!siwatetei,swala langu mimi,ni wewe kuumizwa na utawala wa tz[emoji23][emoji23][emoji23]how!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]heeeeeee,jamani.Thamani ya pesa ya kenya inaendana na mazingira ya afrika tu[emoji23][emoji23]
Mwnywe alipotutenganisha ki continent ilikua anajua tayari km kila watu wana yao..
Kwhyo sisi na asia hatuingiliani kabisa tokea kimifumo
ni afadhali upigwe sticks na RC ila sio operator wa kichwa cha sgr[emoji23][emoji23][emoji23].Unateseka ukiwa wapi mwenzangu, manake naona hko mini-ZIM ni kunoma sana..
Anytime mkuu wa mkoa anakuoa zako za matako km kumi hivi[emoji23][emoji23]
ukimjua basha wako inatosha[emoji23][emoji23][emoji23].Do l know you ?l guess not, stop yapping!
note ya elfu kumi iko since 1995[emoji16][emoji16].Sufuri nyingi kw mazingira ya afrika ni hatari sana[emoji23][emoji23]
Yani nyie mnaenda kuwa mini zimbabwe soon..
Afrika sio asia[emoji2960][emoji2960]
elezea kama wana reserve kubwa ya mafuta yenye impact mara nne zaidi yenu,mnawazidi vipi thamani ya sarafu????Si wale wana reserve ya mafuta na yanathamani[emoji23][emoji23]
Kwn ilikua hilo hulijui jamani
Uchumi wenu huo wakati sio ndio ulikua umeshaanza kuporomoka kw kasi ya 4G baada ya kuomgeza kw mda flaninote ya elfu kumi iko since 1995[emoji16][emoji16].
hiyo soon haitafika na umezeeka tayari.
Kwn nyinyi na nigeria mna tofauti gani na wakati uchumi wenu unashikiliwa na raw materials[emoji23][emoji23]
Yani mngelikua uchumi wenu ungelikua unategemea human resource km sisi labda sai mngelikuwa sawa na somalia