Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kweli kabisa Magu ametengenenza the butterfly effect na hawa wakenya wanaendelea kutupa publicity bila kujua. Wanasahu kuwa there is no such thing as bad publicity.
Sio kwamba wanapenda mkuu huwezi kupambana na muda cz ukifika umefika hata ufanyeje na ukifoc kuupinga muda ndo kwanza unajiharibia, ss Wakenya wameshindwa kusoma mchezo unavyokwenda matokeo yake wamejikuta wanatoa back up ya kutosha ktk kuitangaza Tanzania kimataifa
 
Kuna taarifa nimepata kuwa mzee mkapa hatunaye tena.je hizo taarifa ni za kweli?
220px-Benjamin_Mkapa_2010-05-07.jpeg
 
Dah bado naitafakari cku ya kesho nahisi itakuwa nzito sn lkn kwa uwezo wa Allah atatufanyia wepesi katika jambo hili zito, mana kwakweli kifo ndiyo jambo pekee linaloanza kuwa kubwa na baadaye linazoeleka, tumuombe mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi kwani nasi hatujui siku yetu, cz unaweza tafakari jinsi gani itakuwa kesho na usifike hiyo kesho.

Ni msiba mzito sana kwakweli lkn ni lazima tukubali kwamba mzee amekwenda na kama yeye alivyo tutangazia msiba wa mwalimu Nyerere naye leo ametangazwa na mwenzie ya kwamba amefariki.

Kama Kapteni Komba alivyomuomboleza Mwalimu naye pia aliombolezwa.

Kama Dr. Lemi alivyoimba kifo lkn naye pia hakijamuacha.

Kama Ephrahim kibonde alipomuaga Ruge naye pia aliagwa cku chache zilizofuata.

Hivyo basi hili jambo ni la wote na wote tutakufa, WaTz tusimame pamoja katika msiba huu mzito na mwenyezi Mungu atatufanyia wepesi inshaallah.
 
Mi naona hata majengo mafupi dodoma yatapendezea ila wajitahid kwenye mpangilio tu

mfn hii n parisView attachment 1515233
Sijui tatizo nini ramani Zao zinapindapinda barabara zinakuwa zimepinda ukitazama kwa juu nadhani kuna tatizo kubwa kwenye sekta ya ujenzi pamoja na sekta ya elimu ya ujenzi
 
Back
Top Bottom