Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ni afadhali upigwe sticks na RC ila sio operator wa kichwa cha sgr[emoji23][emoji23][emoji23].
Hahahaha au kupigwa mnada Libya 😅😅😅😅😅

Screenshot_20210112-080002~2.png
 
Sio bure hiyo technology ya kuzichapa imetoka asia
Elfu kumi kw bara la asia ni jambo la kawaida sana inaonyesha, ndio manake zi tele..
Kwhyo usilinganishe uchumi wa asia unavyokwenda na afrika, afrika km una noti ya elfu kumi wewe huna tofauti na mini-zimbabwe[emoji23]
 
Kama tulishindwa kuifikia 70s tulivyotoka kuipiga Uganda...sasa hivi ndio unadhani tutaifikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni kopo la chooni.
Currency yenu inazidi kuporomoma kila kuchao jomba acha kujifariji
 
Back
Top Bottom