Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sitting presidents who have once studied in Tanzania 🇹🇿

Ramaphosa 🇿🇦
Mnangagwa 🇿🇼
Geingob 🇳🇦
Nyusi 🇲🇿
Ndaishimiye 🇧🇮
Kagame 🇷🇼
Museven 🇺🇬
Kiir 🇸🇸

Ubaya ni kwamba unapingana na mwenyeji wa Nairobi anayepita hapo kila siku wakati wewe unaishi mwananyamala, kilometer kadhaa Kutoka Nairobi. Kama hilo jengo lenye net ya green ni 88Nairobi, iweje leo ndio wanamwaga zege? Akili yako inakusaidia kweli?
naomba unijibu swali langu na hili swali sitakuuliza tena nairobi 88 ilianza ujenzi rasmi lini ???????🤣
 
Wakenya ni wajinga sana leo hii wanataka kujifanya hawajui ujenzi wa nairobi 88 ulianza lini wakat 3 yrs back walikua wakiitaja pinnacle, montave na nairobi 88 leo hii wanajitia hawajui🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umechanganyikiwa. Hakuna mahali knbs imesema kuwa Kenya ina 80k of paved road
ndiyo maana huwa tunawaambia kuwa hizo fact zenu on paper asilimia kubwa ni cooked huwa mnapenda muonekane tu kwa possition ila reality kwenye ground hampo njema kama jinsi mnavyojitutumua....

kwenye uhalisia wa maisha kenya si kitu.....kuna vitu inabidi mkubaliane navyo tu...
 
Hio barabara ni ya lane moja. Ikishapigwa markings itakuwa na lane moja kuenda na lane moja kurudi. Sisi tuna dual carriageway nyingi tu.
Tutajie barabara moja dual carriage yenye urefu wa 100+km.
Tafadhali.
Kutoka wapi kwenda wapi.
 
Leo hii wanajifanya hawajui ilianza lini ujenzi Tony254 umekuaje mzee🤣🤣👇👇
05AB0DF6-590F-454B-AEE4-25113D517EEC.jpeg
 
Wakenya ni wajinga sana leo hii wanataka kujifanya hawajui ujenzi wa nairobi 88 ulianza lini wakat 3 yrs back walikua wakiitaja pinnacle, montave na nairobi 88 leo hii wanajitia hawajui🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ilianza kujengwa 1920
 
ndiyo maana huwa tunawaambia kuwa hizo fact zenu on paper asilimia kubwa ni cooked huwa mnapenda muonekane tu kwa possition ila reality kwenye ground hampo njema kama jinsi mnavyojitutumua....

kwenye uhalisia wa maisha kenya si kitu.....kuna vitu inabidi mkubaliane navyo tu...
Wewe hujanielewa. Naton Jr ndio alikuwa anasema uongo mwamba KNBS ilisema Kenya ina 80k of paved roads. Nilipomuuliza atoe ushahidi akashindwa kabisa. Hamna mahali popote ambapo KNBS imesema kwamba Kenya ina 80k of paved roads. Huo ni uongo wa Watanzania.
 
Back
Top Bottom