Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
As of 2017 mkuu. Kwani hujui kusoma? Halafu hata hivyo WB huwa nyuma kushinda KNBS au TNBS
As of 2017 mkuu. Kwani hujui kusoma? Halafu hata hivyo WB huwa nyuma kushinda KNBS au TNBS
Umeumia sioungekuwa una busara ningekuposa tatizo...
unakanjanja za kizeemi bado ujanja mwingi
Eti panaBarabara zetu ni pana kushinda zenu. Wewe sijui unaongea nini.
Mtu mmoja si nyie ndio mnaongoza kw maskini wengi pande hizondugu zangu wakenya kama Africa bado tuna safari ndefu sana...
hamna kitu special msijitutumue kizembe bado hamtoshi bado ni poor life tukija kwa mwananchi mmoja mmoja in reality lifeView attachment 1674163View attachment 1674164View attachment 1674165


Toptorn wacha kulialia. Huyu Venus Star pia anajirudia. Yeye keshapost Dar to Mwanza ambayo lazima upitie Dodoma halafu tena sasa hivi amepost Dar to Kigoma ambayo pia lazima upitie Dodoma. Kwa hivyo hata mwenzako venus star anajirudia, kwa hivyo wacha kulialia. Wacha sindano ipenye.Tony ushashindwa, hiki kipande cha mombasa - nairobi si kipo kwenye kila barabara unayoiweka?
Tanzania sio level Yao🙂
😅😅😅😅 Eti KNBS, hiyo inayowadanganya mna kilometres 80k?As of 2017 mkuu. Kwani hujui kusoma? Halafu hata hivyo WB huwa nyuma kushinda KNBS au TNBS
Africa check tena imegeuka ikawa KNBS mkuu?😅😅😅😅 Eti KNBS, hiyo inayowadanganya mna kilometres 80k?
Data zote za Kenya ni uongo mtupu
Increase the paved road network from the current 11,000km (7%) to 24,000km (15%) in five years
When made: February 2013 Where made: Party manifestoafricacheck.org
Inawezekana ni kweli hayo uyasemayo km utalinganisha na Somalia lkn co na nchi kubwa kama TzKenya ni kanchi kadogo lakini kamejengwa barabara sio mchezo






Wacha mjala uishe. WB na KNBS sio wajinga. Wanajua wanachosemaMwanza to Kigoma 606km
View attachment 1674413
LEAST DEVELOPED COUNTRY (TZ)You have to admit kwamba umeshindwa.
Hahahaha umeanza kuokoteza
Dar to Mwanza 1,128km
View attachment 1674393
Nzega to Mbeya 691kmToptorn wacha kulialia. Huyu Venus Star pia anajirudia. Yeye keshapost Dar to Mwanza ambayo lazima upitie Dodoma halafu tena sasa hivi amepost Dar to Kigoma ambayo pia lazima upitie Dodoma. Kwa hivyo hata mwenzako venus star anajirudia, kwa hivyo wacha kulialia. Wacha sindano ipenye.
Mwaka 1978 mlikuwa na 7,000 halafu mwaka 2017 mkawa na 11,000 kukiwa na maaana mliongeza 4,000 tuWacha mjala uishe. WB na KNBS sio wajinga. Wanajua wanachosema



Learn how to debate properly kijana, umeambiwa wide roads wewe umeleta potholes, ukipuuzwa utasema unaonewa.
Mbona hasira, si na nyie muwambie tanroads wapike..Nimekwambia kwenye barabara ni uongo. Ninyi mnapika data. Tunaweza kuanza tu kuelezana barabara kutoka wapi kwenda wapi na urefu wake.
Flyovers tena ni uongo.
Nyie mnapika dada na mnadanganya
Umeniwahi! utadhani tulikuwa wote tukaambiana tupost wote hiyo screeshotWapika data wakubwa
Wanasema wana 80k kilometers za lami kumbe hata 10k hawana
View attachment 1674420



Mbona unaanza kulia ndugu wapi connection. Ulete data halafu barabara zisionekane!? Hebu tuwekee bhanaWacha mjala uishe. WB na KNBS sio wajinga. Wanajua wanachosema