Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

no wonders wakiona miradi Bongo wanakuwa na wivu! hali ni ngumu huko!
Tell any any meaningful construction project (high-rise) inayoendelea Dar kwa sasa. You built some three blue towers and that was it. Nairobi zinzinuaka usiku na mchana
 
hapo nimekupata ila nawewe uache uwongo ,unaushahidi gani kuwa ni uwongo wa watanzania...?

je akikuletea hiyo taarifa utasema nini
Nilimuomba anilete huo ushahidi lakini akakosa kabisa kupata huo ushahidi. Watanzania Muwache kuharibu jina la KNBS
 
hakuna anayeharibu ila nyie ndiyo mnaoishi na mask usoni kuficha sura ya ukweli wa mambo na kuadd cooked data for nothing....
 
Tell any any meaningful construction project (high-rise) inayoendelea Dar kwa sasa. You built some three blue towers and that was it. Nairobi zinzinuaka usiku na mchana
by 2010 ilikuwa ni ndoto kutaja dsm na nairobi sehemu moja,but you know what happen ina just 10yrs.

saa hii wacha tuhangaike na sgr train,brt phase zote,na marekebisho machache kama stand na huduma nyingine za kijamii.

hizo tower 3,ndio zinaifanya nairobi kuwa kama haifanyi kitu.
 
no wonders wakiona miradi Bongo wanakuwa na wivu! hali ni ngumu huko!
Wewe nyumbu kila uonapo neno demolition unafikiri kuwa nyumba za masikini zimebomolewa na watalala nje usiku kwenye baridi. Hii nyumba iliyobomolewa hakuna mtu aliyekuwa akiishi ndani. Shamba lilinunuliwa tayari likiwa na jengo hilo ndogo. Mwenye shamba akapokea pesa yake na kuhama na vitu vyake. Sasa developer huyu mpya aliamua kubomoa nyumba hio na kuchimba foundation ya jengo la 44 floors. Natumai umeelewa sasa.
 
by 2010 ilikuwa ni ndoto kutaja dsm na nairobi sehemu moja,but you know what happen ina just 10yrs.

saa hii wacha tuhangaike na sgr train,brt phase zote,na marekebisho machache kama stand na huduma nyingine za kijamii.

hizo tower 3,ndio zinaifanya nairobi kuwa kama haifanyi kitu.
Dar has a long way to reach where Nairobi is today. Kubalini yaishe
 
hakuna anayeharibu ila nyie ndiyo mnaoishi na mask usoni kuficha sura ya ukweli wa mambo na kuadd cooked data for nothing....
Onyesha evidence kwamba KNBS imecook data. Kama wenzako wameshindwa kuleta evidence wewe ndio utaweza?
 
Ujenzi VETA nyingine

Erc1AOVUcAQM9Af.jpg

Wewe nyumbu kila uonapo neno demolition unafikiri kuwa nyumba za masikini zimebomolewa na watalala nje usiku kwenye baridi. Hii nyumba iliyobomolewa hakuna mtu aliyekuwa akiishi ndani. Shamba lilinunuliwa tayari likiwa na jengo hilo ndogo. Mwenye shamba akapokea pesa yake na kuhama na vitu vyake. Sasa developer huyu mpya aliamua kubomoa nyumba hio na kuchimba foundation ya jengo la 44 floors. Natumai umeelewa sasa.
Moderator unamuona Tony254 ananitukana...!
 
Huyu zuzu ichoboy01 hajui maana ya demolition. Msamehe tu. Halafu evidence zake zote ni za 2018
Kilichonifurahisha ni pale alipoleta screen shot ya Upper Hill Chambers under construction sometime back in 2018 na kusema ni 88Nairobi just because their showroom is close by 😂 😂 Nikamuuliza iweje 88nairobi iko hadi na net ya green all round it na jengo lenyewe linshainuka several floors above the ground while the whole world knows that 88Nairobi ndio wanamwaga zege kwenye foundation at the moment. Huyu anafaa tu kupuuzwa
 
Back
Top Bottom