Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nimepoteza muda kudebate na wewe badala ya kufanya kazi.
Karatu to Mbeya 913km
Screenshot_20210111-112112.png
 
Mbona unaanza kulia ndugu wapi connection. Ulete data halafu barabara zisionekane!? Hebu tuwekee bhana
Inawezekana kwamba nyinyi ndio wazembe hamtaki ku-update data zenu za barabara halafu mnakuja kutulilia machozi sisi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

Screenshot_20210111-113320.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]

View attachment 1674445
Posche haitoki Kenya. Inabaki hapa Kenya. Dealer ndio atabadilishwa. Wewe unacheka na nyinyi hata hamna dealer wa Posche hapo Tanzania maana nyie ni masikini hata hamna purchasing power ya maana.
 
Back
Top Bottom