Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa hivyo tangu 2018 wanamwaga tu zege? 😂 😂 Wewe kweli ni mwehu
Ngoja nimuite LightYagami aje atusaidie plz😁😁😁😁😁
7434B26B-4FAF-437A-BC9E-099A5C9DD87B.jpeg
 
So mulikua mujaenga nn toka 2018🤣🤣

Wacha ujinga. Si wewe ndio ulikuwa unasema ujenzi ulianza 2016 na kwamba crane ilikuwa on site kutoka 2016. Sasa tena umebadilisha gear angani na kubadilisha mwaka wa ujenzi hadi 2018. Niliwaambia nyinyi wabongo huwa ni waongo sana. Nicxie huyu jamaa ni wazimu.
 
Wacha ujinga. Si wewe ndio ulikuwa unasema ujenzi ulianza 2016 na kwamba crane ilikuwa on site by 2016. Sasa tena umebadilisha gear angani na kubadilisha mwaka wa ujenzi hadi 2018. Niliwaambia nyinyi wabongo huwa ni waongo sana. Nicxie huyu jamaa ni wazimu.
Ndio ujenzi rasmi ulianza 2016 ila mukawa munasusua na magumashi kibao leo hii sijui munashangaa nn 2021🤣🤣🤣
 
Wacha ujinga. Si wewe ndio ulikuwa unasema ujenzi ulianza 2016 na kwamba crane ilikuwa on site kutoka 2016. Sasa tena umebadilisha gear angani na kubadilisha mwaka wa ujenzi hadi 2018. Niliwaambia nyinyi wabongo huwa ni waongo sana. Nicxie huyu jamaa ni wazimu.
Achana na huyo mwarabu. Hana jipya. Hata wenzake wanamshangaa alivyo mbishi
 
Wewe hujanielewa. Naton Jr ndio alikuwa anasema uongo mwamba KNBS ilisema Kenya ina 80k of paved roads. Nilipomuuliza atoe ushahidi akashindwa kabisa. Hamna mahali popote ambapo KNBS imesema kwamba Kenya ina 80k of paved roads. Huo ni uongo wa Watanzania.
hapo nimekupata ila nawewe uache uwongo ,unaushahidi gani kuwa ni uwongo wa watanzania...?

je akikuletea hiyo taarifa utasema nini
 
Ndio ujenzi rasmi ulianza 2016 ila mukawa munasusua na magumashi kibao leo hii sijui munashangaa nn 2021🤣🤣🤣
Wewe mwenyewe ndio umeweka post ikionyesha kwamba demolition ya jengo lililokuwa hapo ilianza kufanyika 2018 na kwamba post yenyewe inasema kwamba ujenzi wa foundation itaanza hivi karibuni. Sasa vipi tena unakuwa kigeugeu na kusema kwamba ujenzi ulianza 2016 ikiwa post yako inasema kwamba ujenzi ulianza 2018? Umechanganyikiwa sana. Halafu evidence zote unazopost ni za 2018. Umekosa kupata evidence hata moja ya 2016. Wewe ni muongo na leo tumekukamata.

Cc Nicxie
 
Back
Top Bottom