Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Case closed na nisimsikie ngedere yeyote wa kikunya akiongelea roads network pale Tz imetajwa
Tony254 Musoma to Holili 629km
Screenshot_20210111-113917.png
 
Posche haitoki Kenya. Inabaki hapa Kenya. Dealer ndio atabadilishwa. Wewe unacheka na nyinyi hata hamna dealer wa Posche hapo Tanzania maana nyie ni masikini hata hamna purchasing power ya maana.
Ss unanililia mm, angalia gharama ya hiyo showroom unayojigamba sisi hatuwezi kuwa nayo, alafu angalia na car units mnazonunua per year, then nyinyi ni matajiri
Screenshot_20210111-113843.jpg
Screenshot_20210111-113938.jpg
 
Mbona unaanza kulia ndugu wapi connection. Ulete data halafu barabara zisionekane!? Hebu tuwekee bhana
Baada ya kuona kule mnakotarajia hakuna barabara ziko
Sasa mumeanza kuteseka na maneno ya khanga, kuna uzi wa barabara mliukimbia sasa mnafikiria tumesahau ndio mnajotia kurudi tena..
Msijaribu kisha nawaambia
 
Kenya ina aidha 18k au 20k of paved road. Nimesahau the exact figure.
🤣🤣🤣🤣🤣 Mmetumia miaka 7 kujenga kilometres 4k leo mtumie 3 years kujenga 9k kilometres? 80k kilometers za KNBS umezikana kwa misingi ipi?
 
Ss unanililia mm, angalia gharama ya hiyo showroom unayojigamba sisi hatuwezi kuwa nayo, alafu angalia na car units mnazonunua per year, then nyinyi ni matajiri View attachment 1674450View attachment 1674451
Gari moja ni between ksh 10 million to ksh 28 million na wameuza more than 400 cars. Nchi yenu masikini haiwezi kuafford kununua posche zaidi ya 400 in 5 years. Sales ya ksh 5 billion unadhani ni mchezo?
 
Database ipi. Sisi tunawachezea akili kwenye public. Ki uhalisia tumewapita mbalo mno.
Update data zenu. Wacheni kuwa washamba. Sasa unatulilia sisi Wakenya tukusaidie aje? Ambia serikali yenu iwache kuzembea iupdate database yenu ya barabara
 
Gari moja ni between ksh 10 million to ksh 28 million na wameuza more than 400 cars. Nchi yenu masikini haiwezi kuafford kununua posche zaidi ya 400 in 5 years. Sales ya ksh 5 billion unadhani ni mchezo?
Naomba uangalie price ya show room, sitaki upuuzi tafadhali.
Screenshot_20210111-113843.jpg
 
Mmetumia miaka 7 kujenga kilometres 4k leo mtumie 3 years kujenga 9k kilometres? 80k kilometers za KNBS umezikana kwa misingi ipi?
Sio nyie mnaojigamba km mumetumia miaka mitano kujenga miundombinu tz kuliko awamu zote zile

Mkuki kw nguruwe
 
Back
Top Bottom