Still the sama Road goes to busiaMombasa to Eldoret 802 km
View attachment 1674381
Hahahaha. Angalau sasa imekubali kuwa nchi yenu ni ndogo. Exposure kidogo unapata.Ka nchi kadogo kanwahemesha hvyo yani![]()
Nimenotice wote wawili wanafanya mistake hiyohiyoSasa kama zote zitaanzia mombasa si unarudia barabara hiyohiyo kabla hazijaachana nairobi?
Wacha ujinga mzee. Kwani hii ni nini?Kwann mulianza 2016 🤣🤣🤣 na crane zikafungwa 2017 shida nn kenya sio nchi ya kuaminika kwenye projects
View attachment 1674604
Nimesha mjua anachotaka wewe tulia tu hawa nawajulia. Wala usiwe na taabu. Wenyewe wqrudie tu.Nimenotice wote wawili wanafanya mistake hiyohiyo
Pia sisi tuna wageni,, Mombasa Gate bridge loading...😝😝😝
Wote mnachemsha so hamtafika muafaka, tumieni angalau Road codes zaweza saidiaToptorn wacha kulialia. Huyu Venus Star pia anajirudia. Yeye keshapost Dar to Mwanza ambayo lazima upitie Dodoma halafu tena sasa hivi amepost Dar to Kigoma ambayo pia lazima upitie Dodoma. Kwa hivyo hata mwenzako venus star anajirudia, kwa hivyo wacha kulialia. Wacha sindano ipenye.
Hii battle ndio iko hivyo. Tunauwana hivyo hivyo. Just understand it.Wote mnachemsha so hamtafika muafaka, tumieni angalau Road codes zaweza saidia
Uyu c ndio yule alikuwa mama yake Yna ambapo alikuja kugundua baadaye kabisa, aisee the promise ilikuwa balaa enzi hizo tulikuwa tunajazana sebuleni kuiangalia hii




Bongolala, I know you are so desperate na pia uko na mauchungu kuona hili jengo linajengwa. This is 88 Nairobi ( a screenshot from a live Webcam from their website).Nionyeshe hilo jengo lenye net ya green iko wapi hapa?🤣🤣🤣👇👇👇👇👇
![]()
88 Nairobi | Upper Hill | 44 fl | 145m | U/C
Sample house (exterior view) They have placed a big advertisement along Ngong Roadwww.skyscrapercity.com
View attachment 1674605
Tena mkija kwenye roads za mtaani ndo mama yangu tunawaua asubuhi asubuhiBoss lami si highways tu acha kutumia akili kama mende




Hiyo screenshot yako ni nini inaeleza kwamba hiyo Ni 88Nairobi under construction? As far as I knew it, there are so many buildings under construction in upperhill and that could just be one of them. Mbona umeamua kupiga screenshot half page? Give us a screenshot inayochukua hadi descprition ya hiyo project tujue kweli ni 88Nairobi. Unafikiri watu ni wajinga humu kama we wewe?
Nimeitoa humu page ya 5 fungua mzee🤣🤣👇👇👇👇Bongolala, I know you are so desperate na pia uko na mauchungu kuona hili jengo linajengwa. This is 88 Nairobi ( a screenshot from a live Webcam from their website).Nionyeshe hilo jengo lenye net ya green iko wapi hapa?
View attachment 1674630
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwenzako sio mjinga kama wewe ndio maana ni mwepes kukubali ukweli@Tony254 achana naye huyu
Wacha ujinga mzee. Kwani hii ni nini?
Chato ndio center ya lake zone?Hii zonal hospital itagharimu zaidi ya billion 50 itakua kubwa huenda kuliko hata bugando au itaikaribia bugando, wananchi kutoka DRC, Burundi, Rwanda, Uganda wataitumia
Kwenye afya tupo level nyingine
Nyie mna upendeleo mwingi. Sasa Chato ni katown kadogo sana lakini pesa yote ya serikali inamwagwa huko kwa sababu Magufuli anatokea Chato. Mwanza ndio HQ ya lake zones.Chato ndio center ya lake zone?