Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyie mna upendeleo mwingi. Sasa Chato ni katown kadogo sana lakini pesa yote ya serikali inamwagwa huko kwa sababu Magufuli anatokea Chato. Mwanza ndio HQ ya lake zones.
Hakuna shida as long as Chato nayo ni Tz, so hata mm pia naweza kwenda kuishi kule, ss nyie mnataka kijiji kiendelee kuwa kijiji mjini kuendelee kuwa mjini km huko kwenu au sio.
 
Nyie mna upendeleo mwingi. Sasa Chato ni katown kadogo sana lakini pesa yote ya serikali inamwagwa huko kwa sababu Magufuli anatokea Chato. Mwanza ndio HQ ya lake zones.
Mwanza ipo bugando Hospital.
Chato wataenda watu toka (Geita, Kigoma, Kagera, Mkoa wetu wa Rwanda, Mkoa wetu Wa Burundi na Autonomous Province yetu ya Uganda).

Mwanza wataenda(Simiyu, Shinyanga, Mwanza na Tabora) kuna swali jingine!?
 
Nimeitoa humu page ya 5 fungua mzee🤣🤣👇👇👇👇

That's their showroom, if you know what a showroom is, na hilo jengo unaona hapo nyuma yenye net ya green ni Upper Hill Chambers ikiwa bado inajengwa. Ndio hii hapa after ujenzi kuisha

Upper-Hill-Chambers.jpg

88Nairobi inajengwa nyuma kabisa, tena mbali kidogo kutoka mahali hiyo showroom ipo. Showroom yao iko along Ngong Road, not far from Kenya National Library wakati 88Nairobi inajengwa along 3rd Ngong Avenue, Karibu sana Prism Towers. Hizo ni barabara mbili tofauti!
 
Mwanza ipo bugando Hospital.
Chato wataenda watu toka (Geita, Kigoma, Kagera, Mkoa wetu wa Rwanda, Mkoa wetu Wa Burundi na Autonomous Province yetu ya Uganda).

Mwanza wataenda(Simiyu, Shinyanga, Mwanza na Tabora) kuna swali jingine!?
Chato ni katown kadogo sana. Hakastahili kuwa headquarters. Kuna towns nyingi kubwa lake zone ambazo zinastahili kujengwa hospitali hio kubwa.
 
That's their showroom, if you know what a showroom is, na hilo jengo unaona hapo nyuma yenye net ya green ni Upper Hill Chambers ikiwa bado inajengwa. Ndio hii hapa after ujenzi kuisha

View attachment 1674640

88Nairobi inajengwa nyuma kabisa, tena mbali kidogo kutoka mahali hiyo showroom ipo. Showroom yao iko along Ngong Road, not far from Kenya National Library wakati 88Nairobi inajengwa along 3rd Ngong Avenue, Karibu sana Prism Towers. Hizo ni barabara mbili tofauti!
Hahahhhahahhha hebu nidanganye mm nairobi 88 ujenzi ulianza rasmi lini leo mm ntakuumbua vibaya sana
 
Jokers in self denial can’t believe construction is under way.Show room down below
0C1BAB78-A315-4E7E-B586-BB52232C2EDC.jpeg
5E892236-779D-4477-B15C-7B07703ACED2.jpeg
EBDEA37E-87A0-43B0-BAF8-D11974BDADFC.jpeg
 
Naona umeishiwa Barbara sasa. Uliyoiweka is the same road Mombasa to Busia. Huna barabara zingine!?
anatokea momba mwanzo mwisho ili kuforce kutafuta km za umbali kwa tourch kama vip ungeenda naye kwa kuanza upya yaani main region start point kwa tz ianzie dar na kwa kenya start point ianzie mombasa...

hii battle atakufa mapema tu
 
Hahahhhahahhha hebu nidanganye mm nairobi 88 ujenzi ulianza rasmi lini leo mm ntakuumbua vibaya sana
Ubaya ni kwamba unapingana na mwenyeji wa Nairobi anayepita hapo kila siku wakati wewe unaishi mwananyamala, kilometer kadhaa Kutoka Nairobi. Kama hilo jengo lenye net ya green ni 88Nairobi, iweje leo ndio wanamwaga zege? Akili yako inakusaidia kweli?
 
Back
Top Bottom