Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm naforce au ww unadanganya 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 nairobi 88 nani asiejua ujenzi ulianza 2016 alaf ukasimama hata ndugu yako anakushinda kujua ukweli🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 Kasema walismama ujenziView attachment 1674589
Hiyo screenshot yako ni nini inaeleza kwamba hiyo Ni 88Nairobi under construction? As far as I knew it, there are so many buildings under construction in upperhill and that could just be one of them. Mbona umeamua kupiga screenshot half page? Give us a screenshot inayochukua hadi descprition ya hiyo project tujue kweli ni 88Nairobi. Unafikiri watu ni wajinga humu kama we wewe?
 
Hahahahaha!! Asante kwa taarifa. But mimi nilikuwa nataka verification kati ya paper work na reality.
Reality Kenya mpo nyuma mno. Uongo mliokuwa mnautumia kwa sasa ni useless.

Waingereza waliwapatia virtual life.
Ulifikiria kenya hatuna barabara za lami 1000km kwenda mbele..
Naona umeshtuka kuona ka nchi ka dogo km kenya kutandaza lami 1000km kati ga miji miwili

Tz mnatakiwa muwe mna lami ya 3000km ktai ya miji miwili sai lkn tatizo kumejaa misitu
 
Wewe ndiye unatakiwa kutuambia. Hizo 18k km ni kutoka wapi kwenda wapi. Mbona simple tu. Maana the longest distance in Kenya is 1,031km.
Tuambie hizo 18k ni wapi kwenda wapi.

La sivyo ni mwendo wenu wa kama kawaida wa kudanganya.
Hahaha endelea kujidanganya tu
20210111_144427.jpg
 
Wewe ndiye unatakiwa kutuambia. Hizo 18k km ni kutoka wapi kwenda wapi. Mbona simple tu. Maana the longest distance in Kenya is 1,031km.
Tuambie hizo 18k ni wapi kwenda wapi.

La sivyo ni mwendo wenu wa kama kawaida wa kudanganya.

mkuu, unaweza kuchukua hii map then utafute distance ya roads zote zilizoko hapa (blue, yellow na hii grey colors) then ujumlishe (under one quote) tuone inakuja ngap!?! just barabara zinazoonekana kwenye hi map hapa tu (najua kuna barabara in the ground zipo ila hapa hazijainekana,)
 
BTW sijamskia Kagame kitambo vp rapport kati ya hawa wawili inasomeka vp?
Niliona hawapo vizuri baada ya kuona wakiendesha mazungumzo mapya ya SGR na Burundi wakati walishaongea na Rwanda awali, hapo ndio nikajua kuna tofauti japo walikuja vizuri

Kumbuka ile dhahabu iliotaifishwa Mwanza na police kuingia kwenye msala ilikua inaenda Rwanda, Rwanda pia alikua muuzaji mzuri wa Tanzanite, JPM pia alizitaifisha ng'ombe za Rwanda kipindi kile cha kuondoa mifugo ya kigeni, tena ng'ombe za Rwanda zilikuwa nyingi kuliko za Uganda na Kenya combined
 
Wewe ndiye unatakiwa kutuambia. Hizo 18k km ni kutoka wapi kwenda wapi. Mbona simple tu. Maana the longest distance in Kenya is 1,031km.
Tuambie hizo 18k ni wapi kwenda wapi.

La sivyo ni mwendo wenu wa kama kawaida wa kudanganya.

mkuu, unaweza kuchukua hii map then utafute distance ya roads zote zilizoko hapa (blue, yellow na hii grey colors) then ujumlishe (under one quote) tuone inakuja ngap!?! just barabara zinazoonekana kwenye hi map hapa tu (najua kuna barabara in the ground zipo ila hapa hazijainekana,)
IMG_1610365540.068000.jpg
 
Kwa hivyo unapinga kwamba zege linamwagwa kwenye foundation?
He's trying to force that this building has been under construction since 2016 😂 😂 😂
Huyu mwarabu wa Pemba anakuanga so desperate
 
mkuu, unaweza kuchukua hii map then utafute distance ya roads zote zilizoko hapa (blue, yellow na hii grey colors) then ujumlishe (under one quote) tuone inakuja ngap!?! just barabara zinazoonekana kwenye hi map hapa tu (najua kuna barabara in the ground zipo ila hapa hazijainekana,)
View attachment 1674616
The same road different locations
 
Sasa wewe kijana mbona unafanha cheating!? Isiolo to Mayole umeshaitaja.
Basi unatakiwa ulete Mombasa to Isiolo.
Hakuna barabara hats moja imejirudia kwangu. Twende vizuri ninafuatilia kwa umakini. Nijibu hiyo yangu ya 1,263km.
Ukiangalia vizuri hata mombasa to Isiolo iko ndani ya mombasa to busia
 
Back
Top Bottom