Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You have to admit kwamba umeshindwa.
Hahahaha umeanza kuokoteza
Dar to Mwanza 1,128km
View attachment 1674393
Lodwar to Narok 555 km
Screenshot_20210111-104444.jpg


Lodwar to Nanyuki 540 km
Screenshot_20210111-104718.jpg
 
Mkuu ile barabara la Isiolo to Moyale (500 km) pia tupilia mbali maana barabara yenyewe inastahili kuanzia Mombasa. Barabara zangu zote zitaanzia Mombasa.
Ulisema nikujibu, ndio hili jibu ulilokuwa unatafuta.

Mombasa to Moyale ni 1206 km
View attachment 1674361
Sasa kama zote zitaanzia mombasa si unarudia barabara hiyohiyo kabla hazijaachana nairobi?
 
Sasa wewe kijana mbona unafanha cheating!? Isiolo to Mayole umeshaitaja.
Basi unatakiwa ulete Mombasa to Isiolo.
Hakuna barabara hats moja imejirudia kwangu. Twende vizuri ninafuatilia kwa umakini. Nijibu hiyo yangu ya 1,263km.
Unajua jamaa anachokifanya ni nini, mfano barabara ya DSM - Mwanza uanzie Dar, vilevile ya DSM - Tunduma uanzie Dar ambapo DSM - Moro itakua imetokea kila mara ndio anachokifanya kulazimisha zianzie Mombasa wakati zimegawanyika Nairobi
 
Back
Top Bottom