Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo ki uhalisia Kenya no roads. Hahahahahahaha. You have to admit bwana. Wewe ni kijana muungwana.
Wewe lazima uprove kwamba hio data ya KNBS ni wrong. Na bado hujafanya hivyo. Kazi ni kupiga makelele mitandaoni.
 
Wewe lazima uprove kwamba hio data ya KNBS ni wrong. Na bado hujafanya hivyo. Kazi ni kupiga makelele mitandaoni.
Hahahahaha!! Asante kwa taarifa. But mimi nilikuwa nataka verification kati ya paper work na reality.
Reality Kenya mpo nyuma mno. Uongo mliokuwa mnautumia kwa sasa ni useless.

Waingereza waliwapatia virtual life.
 
Hujaprove kwamba Kenya haina 18k of paved roads. Ulichoprove ni kwamba serikali yenu ni maembe na lazy hata haiwezi ku-update vitabu vyake.
 
Dua zenu jamani manake sisi walimu hali zetu mbaya View attachment 1674585
Hii inawafaa masponsors
255745388848_status_dba3f8460a4549468e2288f2420cce04.jpg
 
Hujaprove kwamba Kenya haina 18k of paved roads. Ulichoprove ni kwamba serikali yenu ni maembe na lazy hata haiwezi ku-update vitabu vyake.
Wewe ndiye unatakiwa kutuambia. Hizo 18k km ni kutoka wapi kwenda wapi. Mbona simple tu. Maana the longest distance in Kenya is 1,031km.
Tuambie hizo 18k ni wapi kwenda wapi.

La sivyo ni mwendo wenu wa kama kawaida wa kudanganya.
 
Kwahiyo ki uhalisia Kenya no roads. Hahahahahahaha. You have to admit bwana. Wewe ni kijana muungwana.
Hizi battle za kitoto mnapenda sana..utawezaje kupost na kumaliza barabara zote ziko kenya za lami??? Hizi data zipo kwa kila nchi if unataka data you just have to look kwa relevant agencies...battle kama hizi watu hawana time nazo
 
Wewe ndiye unatakiwa kutuambia. Hizo 18k km ni kutoka wapi kwenda wapi. Mbona simple tu. Maana the longest distance in Kenya is 1,031km.
Tuambie hizo 18k ni wapi kwenda wapi.

La sivyo ni mwendo wenu wa kama kawaida wa kudanganya.
Boss lami si highways tu acha kutumia akili kama mende
 
Hii zonal hospital itagharimu zaidi ya billion 50 itakua kubwa huenda kuliko hata bugando au itaikaribia bugando, wananchi kutoka DRC, Burundi, Rwanda, Uganda wataitumia

Kwenye afya tupo level nyingine
BTW sijamskia Kagame kitambo vp rapport kati ya hawa wawili inasomeka vp?
 
Back
Top Bottom