Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo ni headlights za magari. Nyinyi hata ni kama hamna magari mengi kwenye barabara usiku
Unajisikia utopolo unaoongea humu?
JamiiForums1016576906.jpg
JamiiForums1070205399.jpg
JamiiForums-640141787.jpg
JamiiForums-644636085.jpg
JamiiForums1016576906.jpg
 
Mzee nimeshasema kwamba utupilie mbali Isiolo to Moyale (500 km). Usiihesabu hio. Ndio maana nimekupa Mombasa to Moyale ambayo ni ndefu zaidi 1206 km. Ukihesabu zote mbili ndio itakuwa cheating
Poa haina shida but bado mimi ninaongoza
Maana upoa na 900+Mombasa to Busia
1206km Mombasa to Mayole.
Mimi nimekuwekea
1. Dar to Tunduma 816km
2. Dar to Mtwara 563km
3. Iringa to Namaga 716km
4. Tunduma to Mutulula 1,263km
5. Biharamulo to Isibania 516km

Sasa naweka Mtwara to Mbamba bay 816km
Screenshot_20210111-102412.png
 
Hiyo ni tweet ya World Bank? Leo hii World Bank wanaitwa Uwekezaji Tanzania?

Reuters ilizungumzia hiyo habari ya World Bank kuhusu ukuaji wa uchumi wa Kenya in 2021

Pole kwa maumivu
 
Nimekwambia kwenye barabara ni uongo. Ninyi mnapika data. Tunaweza kuanza tu kuelezana barabara kutoka wapi kwenda wapi na urefu wake.

Flyovers tena ni uongo.
Nyie mnapika dada na mnadanganya
Hizi za sisi kupika data mbona siku hizi imekuwa boring chorus?! 😂 😂 😂
 
Poa haina shida but bado mimi ninaongoza
Maana upoa na 900+Mombasa to Busia
1206km Mombasa to Mayole.
Mimi nimekuwekea
1. Dar to Tunduma 816km
2. Dar to Mtwara 563km
3. Iringa to Namaga 716km
4. Tunduma to Mutulula 1,263km
5. Biharamulo to Isibania 516km

Sasa naweka Mtwara to Mbamba bay 816km
View attachment 1674371
Twende nao taratibu wataelewa tu, mwisho watakuwekea statistics
 
Poa haina shida but bado mimi ninaongoza
Maana upoa na 900+Mombasa to Busia
1206km Mombasa to Mayole.
Mimi nimekuwekea
1. Dar to Tunduma 816km
2. Dar to Mtwara 563km
3. Iringa to Namaga 716km
4. Tunduma to Mutulula 1,263km
5. Biharamulo to Isibania 516km

Sasa naweka Mtwara to Mbamba bay 816km
View attachment 1674371
Mombasa to Eldoret 802 km
Screenshot_20210111-102036.jpg
 
Pole kwa maumivu
Anayeumia ni wewe usiyetaka kukubaliana na ukweli. 6.9% it will be. The highest in the continent. Ama hiyo pia tumepika? 😂 😂
Nasikia sisi tunapika anything that places us ahead of you
 
Poa haina shida but bado mimi ninaongoza
Maana upoa na 900+Mombasa to Busia
1206km Mombasa to Mayole.
Mimi nimekuwekea
1. Dar to Tunduma 816km
2. Dar to Mtwara 563km
3. Iringa to Namaga 716km
4. Tunduma to Mutulula 1,263km
5. Biharamulo to Isibania 516km

Sasa naweka Mtwara to Mbamba bay 816km
View attachment 1674371
Dodoma to Arusha?
Dodoma to Tunduma?
Dodoma to Kigoma?
 
Kwmb nchi iliyo lock down mpk leo inataka kushindana na nchi iliyo free since day one, Mungu kweli fundi aloo
 
Back
Top Bottom