Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Poa haina shida but bado mimi ninaongoza
Maana upoa na 900+Mombasa to Busia
1206km Mombasa to Mayole.
Mimi nimekuwekea
1. Dar to Tunduma 816km
2. Dar to Mtwara 563km
3. Iringa to Namaga 716km
4. Tunduma to Mutulula 1,263km
5. Biharamulo to Isibania 516km

Sasa naweka Mtwara to Mbamba bay 816km
View attachment 1674371

hii battle ya barabara nilikuwa naifatilia nilijua jamaa ataenda vizur.. kumbe kaanza kucheat
 
Unaropokwa nini na Kenya huwa inawapiga kwenye idadi ya tourists kila mwaka. Nyinyi huwa mnatupiga tu kwenye revenue mnayopata from tourism.
Hapo unamuumiza sana walai, hataki kuskia kabisa hilo..
Anataka kusema kwao ndiko watalii wanapapenda sana lkn akiangalia katika idadi tumewapida inabidi anarudi nyuma na kujisonya
 
Sijui kama mumetuzidi au la kwenye paved roads. Kwenye vitabu inasema kwamba tumewapiga ila kwenye ground inaonekana mambo ni tofauti. Sasa mimi nakosoa serikali yenu kwa kutoupdate vitabu vyenu.
Basi nakuomba utuwekee list ya hizo barabara zenu kwa majina tuone kama kweli urefu mnaodai ni kweli.
 
Sasa unatuletea kituko gani hichi sasa yaani Kesnya $1.4b Tanzania $5.6b
Mara tano.
FACTS TZ earned 2.562 million dollars.KONDOO ka post in TZ shillings!
1F174104-8E7F-479D-AD55-A8C71BD4EFC1.png
 
Hapana mkuu mimi ninafuatilia sana masuala ya barabara angalia hapo barabara ya Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Uvinza - Nyakanazi. Ilishakamilika tangu 2019

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema jumla ya kilometa 530 za barabara za ukanda wa magharibi kuanzia Tunduma – Sumbawanga – Mpanda – Uvinza – Nyakanazi ujenzi wake umekamilika na kilometa zingine 597 za barabara za lami ujenzi wake upo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
View attachment 1674243
Sikupingi
 
Poa haina shida but bado mimi ninaongoza
Maana upoa na 900+Mombasa to Busia
1206km Mombasa to Mayole.
Mimi nimekuwekea
1. Dar to Tunduma 816km
2. Dar to Mtwara 563km
3. Iringa to Namaga 716km
4. Tunduma to Mutulula 1,263km
5. Biharamulo to Isibania 516km

Sasa naweka Mtwara to Mbamba bay 816km
View attachment 1674371
Hapo vipi
Yani sai hamjui km mtataja wapi
20210111_135044.jpg
20210111_135129.jpg
20210111_135300.jpg
 
Back
Top Bottom