Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui kama mumetuzidi au la kwenye paved roads. Kwenye vitabu inasema kwamba tumewapiga ila kwenye ground inaonekana mambo ni tofauti. Sasa mimi nakosoa serikali yenu kwa kutoupdate vitabu vyenu.

safi.. agiza soda mtani wangu.. bill juu yangu 🤝
 
Wewe saa zingine unafaa tu kupuuzwa. 2016 hata foundation haikuwa imechimbwa
Mm nakwambia 2016 ndio walianza ujenzi alaf wakakwama miaka ikapita ndio leo sijui munashangaa nn wakat jengo lina miaka 5 halijawekwa hata tofali moja 🤣🤣🤣🤣
 
Wewe saa zingine unafaa tu kupuuzwa. 2016 hata foundation haikuwa imechimbwa
Hio crane iko hapo toka 2017 mbuzi wewe alaf unaongea nn hapa🤣🤣🤣🤣
2A1B3256-809E-4233-95E4-EE9168485671.png
 
Hio crane iko hapo toka 2017 mbuzi wewe alaf unaongea nn hapa🤣🤣🤣🤣
View attachment 1674582
I hate it when you try to force things. Kando ya hiyo crane you can clearly see there's a building under construction with a green net around it. Kwani hii nyumba ilikuwa ikijengwa ikirudi nyuma? Kama saa hii ndio wanamwaga zege kwenye foundation, iweje hiyo picha yako iko na ghorofa inajengwa hadi iko na net all round? Hiyo green net ni ya nini?
 
Mm naforce au ww unadanganya 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 nairobi 88 nani asiejua ujenzi ulianza 2016 alaf ukasimama hata ndugu yako anakushinda kujua ukweli🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 Kasema walismama ujenzi
CAF25AC2-424F-4DF4-A42D-472435D01FC8.png
 
Basi nakuomba utuwekee list ya hizo barabara zenu kwa majina tuone kama kweli urefu mnaodai ni kweli.
Boss mimi sifanyi kazi KNBS. Tafuta statisticians wanakfanya kazi huko. Hao ndio waliocollect data, sio mimi.
 
Back
Top Bottom