curtis jr2
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 770
- 4,588
Nadhani hii map ni ya 2018. Kuna barabara kadha 2019 and 2020 zimefunguliwa.Twende na hii kwanzaView attachment 1674211
Hii mpya kaka nmepata TANROADSView attachment trunk_roads_map(1).pdfNadhani hii map ni ya 2018. Kuna barabara kadha 2019 and 2020 zimefunguliwa.
Hawa jamaa ni waongo mno hawawezi kukuletea Road Network watakuletea statistics zilizopikwa kuudanganya ulimwengu.
24/7 ongoing work at 88 NAIROBIOndoeni hizo slums mana zipo Nairobi![]()
Hapana mkuu mimi ninafuatilia sana masuala ya barabara angalia hapo barabara ya Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Uvinza - Nyakanazi. Ilishakamilika tangu 2019Hii mpya kaka nmepata TANROADSView attachment 1674220
Unadharau Thika road na hamna barabara kama hio. Wewe ni wazimu. Jengeni kwanza barabara kama hio ndio ulete dharau.Eti international stadium
Kama vile wanavyoita superhighway kale kabarabara la thika![]()
Nairobi to wajir ni highway tarmac safi sanaKwenye barabara sio kweli. Kenya inadanganya kwenye statistics.
Hebu tuambie connections za county na county. Kisha na sisi tutakupatia.
Mfano Nairobi to Wajir, Wajir to Masarbat nk.
Sisi tutakupatia Dar to Lindi and Lindi to Mtwara.
Sasa mbona unatuwekea picha za mabeberu, unadhani hio itasaidia kuonyesha kuwa jengo liko U/C?
Tunawapiga sio kwa urefu pekee (kilometres) wa barabara bali tunawapiga kwenye upana wa barabara na hata kwenye idadi ya flyovers na interchanges (cloverleaf interchanges) na hata kwenye expressways. Usiangalie urefu pekee, angalia hata kwenye sofistication ya barabara. Tuna dual carriageway roads kilometres nyingi kuwashinda.Kwenye barabara sio kweli. Kenya inadanganya kwenye statistics.
Hebu tuambie connections za county na county. Kisha na sisi tutakupatia.
Mfano Nairobi to Wajir, Wajir to Masarbat nk.
Sisi tutakupatia Dar to Lindi and Lindi to Mtwara.
Jengo tayari liko under construction hata ukilia damu haitobadilisha ukweli kwamba jengo linajengwa.Sasa mbona unatuwekea picha za mabeberu, unadhani hio itasaidia kuonyesha kuwa jengo liko U/C?
Cc: Geza Ulole si umewaona WB hao, ila kuna mbwa atakuja kusema Kenya ndo inaongoza, atakuwekea na source yake aliyotengeneza mwenyewe kwishaTwende kazi



Hapana mkuu mimi ninafuatilia sana masuala ya barabara angalia hapo barabara ya Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Uvinza - Nyakanazi. Ilishakamilika tangu 2019
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema jumla ya kilometa 530 za barabara za ukanda wa magharibi kuanzia Tunduma – Sumbawanga – Mpanda – Uvinza – Nyakanazi ujenzi wake umekamilika na kilometa zingine 597 za barabara za lami ujenzi wake upo katika hatua mbalimbali za ROAD NETWORK
KENYA ROAD NETWORKHapana mkuu mimi ninafuatilia sana masuala ya barabara angalia hapo barabara ya Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Uvinza - Nyakanazi. Ilishakamilika tangu 2019
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema jumla ya kilometa 530 za barabara za ukanda wa magharibi kuanzia Tunduma – Sumbawanga – Mpanda – Uvinza – Nyakanazi ujenzi wake umekamilika na kilometa zingine 597 za barabara za lami ujenzi wake upo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
View attachment 1674243
Poa poa mkuu.inbox mkuu
Hapana kaka kuna barabara nyingi zimepigwa lami ila hapo inaonyesha unpaved.Hii mpya kaka nmepata TANROADSView attachment 1674220
One skyscraper after the other, king of the skies.