The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Hapa ss umejileta, utapigwa kipigo cha mbwa koko na hutorudia tena








Hapa ss umejileta, utapigwa kipigo cha mbwa koko na hutorudia tena








Hata mimi nimenotice barabara nyingi tu hapo zikionyeshwa unpaved wakati ziko paved.Hapana mkuu mimi ninafuatilia sana masuala ya barabara angalia hapo barabara ya Tunduma - Sumbawanga - Mpanda - Uvinza - Nyakanazi. Ilishakamilika tangu 2019
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale amesema jumla ya kilometa 530 za barabara za ukanda wa magharibi kuanzia Tunduma – Sumbawanga – Mpanda – Uvinza – Nyakanazi ujenzi wake umekamilika na kilometa zingine 597 za barabara za lami ujenzi wake upo katika hatua mbalimbali za ujenzi.
View attachment 1674243
Nimekwambia kwenye barabara ni uongo. Ninyi mnapika data. Tunaweza kuanza tu kuelezana barabara kutoka wapi kwenda wapi na urefu wake.Tunawapiga sio kwa urefu pekee (kilometres) wa barabara bali tunawapiga kwenye upana wa barabara na hata kwenye idadi ya flyovers na interchanges (cloverleaf interchanges) na hata kwenye expressways. Usiangalie urefu pekee, angalia hata kwenye sofistication ya barabara. Tuna dual carriageway roads kilometres nyingi kuwashinda.
Mmh wacha kujidanga Teargass tz in madaraja mengi na yanayoendelea kujengwa ni mengi pia yatakuchanganya kichwa ngoja nikuinyeshe machache tu . Mkapa bridge 900m
. Kirumi bridge mara Teargass
. Drone footage of kirumi bridge mara Teargass
. Kikwete bridge Teargass hiyo ni mto malagarasi
. Ngara hiyo Teargass vitu vya hiv kwenu ni hakuna.mnaibiwa tu na wachina
. Magufuli bridge kilombero Teargass
. Madaraja Yanayoendelea kujengwa tz Teargass
. Sarenda bridge Teargass kwenye suala la madaraja Hamtuwezi hata kidogo
. Daraja la wami Teargass
. Pangani bridge tanga Teargass
. Umoja bridge Teargass
Wakuu mnaona kipigo anachopewa mtu kwenye madaraja, hahahahahaaa. Kelema bridge zaidi ya 200m+ Teargass sisi sio said yenu wewe mama






Nyie jamaa mtadanganywa mpaka lini!? Na wewe unakubali eti uhuru kajenga 80,000km be serious basi usitufanye watoto.
Kwenye malls huenda mnatuzidi mana cc kipaumbele chetu ni markets ila kwenye roads wacha kabisa usiguse utaumia, nyie zaidi ule uchafu wa maduara mawili hakuna mnachoweza kutugusa km unabisha twende kaziKwenye bridge sidhani kama tunaweza kushindana na nyinyi. Mko vizuri zaidi. Ni vizuri kusema ukweli. Lakini nyie kwenye malls na kwenye barabara hamuwezi kutugusa.





Limeanza kujengea lini ??? Hebu tukumbushe kidogo manake toka naliskia leo inakwenda mwaka wa tano 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ichoboy01 lile jengo la 88 Nairobi ulilosema kwamba halitawahi kujengwa basi zege (concrete) imeanza kumwagwa kwenye foundation. Jengo lenyewe litakuwa na 44 floors
View attachment 1674189View attachment 1674190View attachment 1674191View attachment 1674192
Jengo litafanana hivi likikamilika
View attachment 1674193View attachment 1674194
Endeleeni kujenga Nairobi sisi tunajenga Tz nzima, ila mkipewa statistics za most urbanized country msilie







Kama kawaida yenu eti Biggest na haijawahi shinda hata vita moja










Last year December,,it was on hold but now is a construction bommLimeanza kujengea lini ??? Hebu tukumbushe kidogo manake toka naliskia leo inakwenda mwaka wa tano 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Serekali imewapangishia hapo au nikuletee ushahidi🤣🤣🤣🤣 yani wanajeshi kwenye nyumba za kupangisha tena za watu binafsi
🤣🤣🤣🤣🤣 hilo jengo limeanza toka 2016 sasa leo nawashangaaSasa mbona unatuwekea picha za mabeberu, unadhani hio itasaidia kuonyesha kuwa jengo liko U/C?
Toka 2016 liko underconstruction au unabisha pia 🤣🤣🤣🤣🤣Jengo tayari liko under construction hata ukilia damu haitobadilisha ukweli kwamba jengo linajengwa.
Since 2016 ujenzi ulianza 🤣🤣🤣🤣 sasa sijui munashangaa nn leoOne skyscraper after the other, king of the skies.
It was on hold since 2016 🤣🤣🤣Last year December,,it was on hold but now is a construction bomm
Nlitaka kuuliza hivi ndo mwenye Hilo jengo nikaishiwa pumzi😃Sasa mbona unatuwekea picha za mabeberu, unadhani hio itasaidia kuonyesha kuwa jengo liko U/C?