Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,523
Kwa conectivty ya Barabara Hakuna kama Tanzania
Hahaha. Kwa hivyo nyie mna flyovers nyingi kutushinda? Ona huyu wazimu.Nimekwambia kwenye barabara ni uongo. Ninyi mnapika data. Tunaweza kuanza tu kuelezana barabara kutoka wapi kwenda wapi na urefu wake.
Flyovers tena ni uongo.
Nyie mnapika dada na mnadanganya
Kenya imewashinda kwenye barabara mkuu. Kila mtu anakubali hilo. Kuanzia World bank na hata Tanroads pia wanakubali hilo.Kwa conectivty ya Barabara Hakuna kama Tanzania
Mbona simple tu. Tunaanza na barabara kisha flyover.Hahaha. Kwa hivyo nyie mna flyovers nyingi kutushinda? Ona huyu wazimu.
Limeanza kujengwa miezi michache iliyopita.Limeanza kujengea lini ??? Hebu tukumbushe kidogo manake toka naliskia leo inakwenda mwaka wa tano 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
That's true,,but now is alive 😁😁It was on hold since 2016 🤣🤣🤣
Isiolo to Moyale 500 km. Tuende kaziMbona simple tu. Tunaanza na barabara kisha flyover.
Nimeshaanza
Mombasa to Kisumu vs Dar Es salaam to Tunduma
Nyie 829 sisi 916 hapo we have more 87km.
Twende kazi.
Nimeshakwambia mambo ya kupika dada tulishawajua tunataka sasa uanze kutaja barabara kutoka sehemu fulani kwenda sehemu fulani na umbali wake. Mbona simple tu na google maps ipo!?Kenya imewashinda kwenye barabara mkuu. Kila mtu anakubali hilo. Kuanzia World bank na hata Tanroads pia wanakubali hilo.
Tanzania tuku vizuri,kuanzia quality na upana🙂huwezi ukakuta Barabara za bongo zimebonyea na kingine weigh bridge zetu ziko poa zidisha kiwango cha mizigo kwenye trailor ukutane na show🙂 na pia kwenye issue ya connectivity tumewapiga vibaya mno from mkoa to mkoa.Kenya imewashinda kwenye barabara mkuu. Kila mtu anakubali hilo. Kuanzia World bank na hata Tanroads pia wanakubali hilo.
Hatujakataa kwamba it was on hold. Fact ni kwamba ujenzi umeshika kasi. Walikuwa wanajenga hata usiku na hata siku ya kuruka mwaka ujenzi ulikuwa unaendeleaIt was on hold since 2016 🤣🤣🤣
Weka mapsIsiolo to Moyale 500 km. Tuende kazi
Namanga to moyale 970 kmIsiolo to Moyale 500 km. Tuende kazi
Barabara zetu ni pana kushinda zenu. Wewe sijui unaongea nini.Tanzania tuku vizuri,kuanzia quality na upana🙂huwezi ukakuta Barabara za bongo zimebonyea na kingine weigh bridge zetu ziko poa zidisha kiwango cha mizigo kwenye trailor ukutane na show🙂 na pia kwenye issue ya connectivity tumewapiga vibaya mno from mkoa to mkoa.
Weka maps
Kidogo lifanane na lile jengo refu Africa kwa sasa pale sandton city joziichoboy01 lile jengo la 88 Nairobi ulilosema kwamba halitawahi kujengwa basi zege (concrete) imeanza kumwagwa kwenye foundation. Jengo lenyewe litakuwa na 44 floors
View attachment 1674189View attachment 1674190View attachment 1674191View attachment 1674192
Jengo litafanana hivi likikamilika
View attachment 1674193View attachment 1674194
Dar es salaam to Mtwara 563km more 63kmIsiolo to Moyale 500 km. Tuende kazi
Ni kweli karibu zifanane. Tofauti ni kuwa ile ya SA ni office building na hili la Kenya ni residential, yaani makaazi ya watu.Kidogo lifanane na lile jengo refu Africa kwa sasa pale sandton city jozi
Umeanza cheating.
Isiolo to Moyale ilikamilika mwaka wa 2017Umeanza cheating.
Hakuna LAPSET rafiki haipo