Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii haiingii akilini aisee,Ina maana nchini kwenu mtu anaweza akaingia akajifanya Ni ombaomba kumbe Ni shushushu flani tu, katumwa na nchi yake Kisha akimaliza anasepa zake kiurahirahisi tu[emoji849]ajabu hiii!!
ni ajabu kweli kweli yaani nchi yangu ya kenya imekuwa ya kidemocracy sana na tunawapenda sana jirani zetu[emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2]
 
ndugu zangu wakenya kama Africa bado tuna safari ndefu sana...

hamna kitu special msijitutumue kizembe bado hamtoshi bado ni poor life tukija kwa mwananchi mmoja mmoja in reality life[emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787]
images (5).jpg
images (4).jpg
20210110_152201.jpg
 
The bridge is 1.4km, another bridge is also being constructed along the Dongo kundu line which will be 600m. Mombasa alone will have more bridges than entire Tanzania[emoji23][emoji23][emoji1787]


Mmh wacha kujidanga Teargass tz in madaraja mengi na yanayoendelea kujengwa ni mengi pia yatakuchanganya kichwa ngoja nikuinyeshe machache tu . Mkapa bridge 900m
 
Back
Top Bottom