Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tumalizane hapa hapa, mm ni mvivu siwezi kufungua hiyo thread mana itanipotezea muda ilihali ukweli unajulikana.
 
jamaa kapanic vibaya sana.....

mpeni dawa ya kutuliza maumivu[emoji16][emoji3][emoji3]
 
kupo poa sana
 
Tulipue bom
 
ujue nimekaa nimefikiria imenibidi nicheke sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji1787][emoji1787]

wakenya bado ni washamba sana,mtu na bichwa lake anaamka asubuhi anafanya shughuli zake anakuja JF anatupia certificate..[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu tushamzoom kitambo hadi anapoishi na robo ya mzunguko wa family yake tushaijua...

ila siyo jamboo tunapotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…