Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi




Its so sad breaking this news to you 😂 😂 😂 but uko kma chizi vile 😂😂 unatamani uonekane umeongea kitu cha maana lakini ndo unaongea pumba kupitiliza

1792889381608.png

1792889399652.png
 
Gold? 😂 😂 😂 😂 tuonyeshe wap kenya na tanzania wamefanya biashara ya dhahabu 😂😂😂😂

View attachment 3697879

alafu kati ya tanzania na kenya nani anaingiza pesa nyingi zaidi kwenye tourism? jumlisha izo commodities zako zote kuanzia rice tuambie kati ya nchi zote afrika masharika nan anauza rice zaidi 😂😂😂

na sijamaliza, kati ya tanzania na kenya nani anauza zaidi products?

View: https://www.facebook.com/TheCitizenTanzania/posts/tanzania-ahead-of-kenyakenyan-president-william-ruto-kenya-was-the-leading-count/904519455126798/


au ngoja nkurahisishie kazi 😂😂😂 tuambie nchi gan ina deficit kubwa afrika mashariki , deni kubwa na inakopa kulipa mishahara 😂😂

Huyo mpigeni kwa facts tu, then iwe facts vs hisia zake. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom