Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizi level tutasogea lini wadau
images%20(6).jpeg
images%20(5).jpeg
images%20(4).jpeg
 
Tulia Nairobi expressway iishe ndio uone the first barabara ya juu kwa juu hapa Africa Mashariki
Hizo ni modern flyovers/interchanges jomba hakuna tofali apo, yn apo mahitaji yaliongezeka wakawa wanaongeza, mfano hapa kwetu pale ubungo baadae tuongeze zingine patakaa km hivyo [emoji116][emoji116]
JamiiForums-116671289.jpg
 
$75 kwenu ni pesa nyingi eh? 😂😂😂😂
Kwa hivyo $75 just to book a hotel ni pesa kidogo kwako hadi unacheka? Nyinyi mnakuanga washenzi sana. Halafu naona Venus Star pia kacheka. Nyie mnajificha nyuma ya keyboard na kujifanya mnaishi rich lifestyle na kumbe mnaishi maisha ya kishamba tu. Kwa habari yako Walker255 hii hoteli ni international na rates zake zote ni standardized. Yaani hawajapunguza bei sana compared to hoteli za Europe. Ukienda Radisson blue iliyoko Prague unabook na ksh 11,668 ambayo ni takriban USD 100. Kwa hivyo hio USD 75 ya Park in Radisson ni standardized rate na inakaribia $100 ya Radisson blue ya Prague.

1610196914966.png

Halafu nina message nyingine kwa Geza Ulole. Wewe umenidharau sana. Ulishasema mimi sio mchumi. Sasa nataka useme kwamba mimi sijaishi Czech Republic nikuonyeshe mambo.
 
Wewe sidhani kama umeshawahi kukanyaga mlango wa hoteli! Kama USD 74.40 Ndio gharama ya kufanya reservation, hiyo hela ya “rooms” unayoongelea ni ipi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Room rate ni 75.40, bado anategemea kuna gharama za room zingine[emoji23]
 
Kwa hivyo $75 just to book a hotel ni pesa kidogo kwako hadi unacheka? Nyinyi mnakuanga washenzi sana. Halafu naona Venus Star pia kacheka. Nyie mnajificha nyuma ya keyboard na kujifanya mnaishi rich lifestyle na kumbe mnaishi maisha ya kishamba tu. Kwa habari yako Walker255 hii hoteli ni international na rates zake zote ni standardized. Yaani hawajapunguza bei sana compared to hoteli za Europe. Ukienda Radisson blue iliyoko Prague unabook na ksh 11,668 ambayo ni takriban USD 100. Kwa hivyo hio USD 75 ya Park in Radisson ni standardized rate na inakaribia $100 ya Radisson blue ya Prague.

View attachment 1672904
Halafu nina message nyingine kwa Geza Ulole. Wewe umenidharau sana. Ulishasema mimi sio mchumi. Sasa nataka useme kwamba mimi sijaishi Czech Republic nikuonyeshe mambo.
Hiyo hotel ni nyota ngapi!?
 
Usipost details zangu hapa wewe detective. Wewe unapenda upekuzi wa kishenzi sana. Wacha umbea mzee. Japo sio mbaya Geza Ulole akijua kwamba nina 14,000 followers kwa twitter.

[emoji23][emoji23][emoji23]
sasa unajisifia nn kwa followers 14k wakat unafollow watu 11k???? ukiikata hii sio account yako nakupa ushahid
IMG_1610198070.384817.jpg
 
Back
Top Bottom