Kwanza kwa sababu wewe ni mwanamke dume ambaye anapenda kupekua vitu vya watu na kueneza umbea basi wacha leo nikupe vitu ambavyo vitakukeep busy na umbea wako. Sasa mzee nataka uzunguke kote kote ukielezea watu kuwa mimi ni CPA(k). Yaani nimepiga CPA part 1,2 na 3 na kumaliza yote. Yaani mambo ya uhasibu hayanisumbui hata kidogo. I am a certified public accountant of Kenya. Leo ninaweka certificates zangu za CPA parts zote 1 mpaka 3. Kumbuka part 1 ina section 1 na 2. Part 2 ina section 3 na 4. Part 3 ina section 5 na 6. Halafu siku nyingine ukiwashwa tena uje uniambie nikuwekee transcripts zangu za university tuone kama sikusomea uchumi kwenye university. Sijaribiwi mimi.
Halafu
Geza Ulole wewe ndio juzi ulikuwa unajaribu kunifunza mambo ya public na private company? Mimi ni binadamu na binadamu hukosea. Unadhani sielewi mambo haya? Hapo nilikuwa nimekosea kidogo lakini wewe ukanidharau.
CPA part 1
View attachment 1672996
Part 2
View attachment 1672997
Part 3
View attachment 1672998
CPA nimepiga yote nikamaliza. Uhasibu haunisumbui mimi. Sasa nenda katangazie watu Mr Umbea
Simon.
Cc
joto la jiwe