Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,954
- 27,949
Na kurudia mapichaWenzetu wana masoko nane tu, sasa yameisha wamebaki ku post renders![]()

Na kurudia mapichaWenzetu wana masoko nane tu, sasa yameisha wamebaki ku post renders![]()

Huyo jamaa leo asubuhi aliambia Geza Ulole ati yeye ni software engineer. Wacha aweke certificate yake ya software engineering hapa.Good job Tony, kitu nimegundua na hawa watu they talk a lot but know nothing. Ebu ambia huyo Venus guy aweke certificates zake hapa uone venye ataanza kulia![]()
He won't post his certificates here, there is a day I dared him to post his education certificates nakuambia jamaa alilia all dayHuyo jamaa leo asubuhi aliambia Geza Ulole ati yeye ni software engineer. Wacha aweke certificate yake ya software engineering.
Venus Star hapa sio mahali pa kupiga domo. Weka certificates zako hapa, sio kudharau bidii na jasho za wenzako huku wewe huna lolote la kuonyesha. Kama huna certificates zako si ukae kimya. Na hata ukipost certificates zako mimi sitakudharau maana hio ni jasho yako, nitakupongeza tu. Mimi sio mtu wa madharau kama wewe.

Asante kwa kujibu.Acha kudharau profession ya mwenzako wewe nguruwe. Accounting is much better than Computer packaging that you did for three months![]()

Asante kwa kujibu.
Sasa wewe kusomea bacteria and fungi utaniambia nini!?
Je umeweza kutengeneza hata virus yeyote. Na kama hujaweza kufanya Genetic Engineering basi unakariri tu.
Accountant ni Advanced Cashier.
Also tukija kuongelea ujuzi wangu.
Kijana mimi mult profession.
Ninajua
Mathematics, Cosmology, Metaphysics, Dar Energy, IT, Spiritual Knowledge, Political Science, Accounts, Intel etc.
Siwezi kuongea na mtu mwenye narrow thinking kama wewe.
Zaidi sana nakusaidia ili ukifikia umri wa miaka 30 at least uwe umejifunza vitu vingine. Achana na kukariri vitu vilivyoandikwa na wakoloni.
Be innovative and creative.
Teargass Hahaha. Eti Ng'ombe inasema inajua Metaphysics na Cosmology. Hapo ndio nimewachia kusoma post yake.Asante kwa kujibu.
Sasa wewe kusomea bacteria and fungi utaniambia nini!?
Je umeweza kutengeneza hata virus yeyote. Na kama hujaweza kufanya Genetic Engineering basi unakariri tu.
Accountant ni Advanced Cashier.
Also tukija kuongelea ujuzi wangu.
Kijana mimi mult profession.
Ninajua
Mathematics, Cosmology, Metaphysics, Dar Energy, IT, Spiritual Knowledge, Political Science, Accounts, Intel etc.
Siwezi kuongea na mtu mwenye narrow thinking kama wewe.
Zaidi sana nakusaidia ili ukifikia umri wa miaka 30 at least uwe umejifunza vitu vingine. Achana na kukariri vitu vilivyoandikwa na wakoloni.
Be innovative and creative.
Can you prove hizo certificate ni zako!?Huyo jamaa leo asubuhi aliambia Geza Ulole ati yeye ni software engineer. Wacha aweke certificate yake ya software engineering hapa.
Venus Star hapa sio mahali pa kupiga domo. Weka certificates zako hapa kama unazo, sio kudharau bidii na jasho ya wenzako huku wewe huna lolote la kuonyesha. Kama huna certificates zako si ukae kimya. Na hata ukipost certificates zako mimi sitakudharau maana hio ni jasho yako, nitakupongeza tu. Mimi sio mtu wa madharau kama wewe.
Tena wewe at least hata Tony kaweka certificate. Wewe ndiyo kondoo kabisa.Hakuna kitu unajua outside typing na kutengeneza posters![]()
Haya makenya ni mabogaz ,kama jitu zima linaandika hesabu za accounts zinamtoa povu, pure math, sii atakunya kabisaMathematics za Account is just plus and minus.
Hakuna calculus, Statistics, Trigonometric kwenye Accounts.
Weka certificate mzee na uwache mchezo. Umeshatukana profession ya accounting. Sasa weka certificate zako za cosmology. Tutakukaba hadi aidha uweke certificate yako au uombe msamaha kwa professional accountants wote wanaofanya kazi Tanzania na Kenya.Asante kwa kujibu.
Sasa wewe kusomea bacteria and fungi utaniambia nini!?
Je umeweza kutengeneza hata virus yeyote. Na kama hujaweza kufanya Genetic Engineering basi unakariri tu.
Accountant ni Advanced Cashier.
Also tukija kuongelea ujuzi wangu.
Kijana mimi mult profession.
Ninajua
Mathematics, Cosmology, Metaphysics, Dar Energy, IT, Spiritual Knowledge, Political Science, Accounts, Intel etc.
Siwezi kuongea na mtu mwenye narrow thinking kama wewe.
Zaidi sana nakusaidia ili ukifikia umri wa miaka 30 at least uwe umejifunza vitu vingine. Achana na kukariri vitu vilivyoandikwa na wakoloni.
Be innovative and creative.
Hahahahahaha ninajua unaniogopa mno.Teargass Hahaha. Eti Ng'ombe inasema inajua Metaphysics na Cosmology. Hapo ndio nimewachia kusoma post yake.
Tony ashaweka certificates zake, ebu wewe pia weka zako tuoneTena wewe at least hata Tony kaweka certificate. Wewe ndiyo kondoo kabisa.
Ukifikisha miaka 26 tuongee. Zaidi ya hapo wewe bado sana.

Wewe weka certificate yako ya pure math. Na kama huna ukae kimya. Watanzania mna mdomo kubwa lakini hamna facts. Kila mtu aweke certificate yake kabla ya kukejeli mwenzake.Haya makenya ni mabogaz ,kama jitu zima linaandika hesabu za accounts zinamtoa povu, pure math, sii atakunya kabisa
Hahahaha jamaa eti anasema kwenye Account kuna hesabu za kufa mtu. Sijawahi onaHaya makenya ni mabogaz ,kama jitu zima linaandika hesabu za accounts zinamtoa povu, pure math, sii atakunya kabisa
Weka certificate yako ya software engineering ndio unimention vinginevyo siongei na wewe hadi uweke certificates zako.Hahahahahaha ninajua unaniogopa mno.
Maswali yangu hutaki kuyajibu.
Hatueziogopa mwenye aliacha shule at Secondary level na akaenda kufanya computer packagingHahahahahaha ninajua unaniogopa mno.
Maswali yangu hutaki kuyajibu.

Weka certificate yako ya software engineering ndio unimention vinginevyi siongei na wewe hadi uweke certificates zako.
Kwenye CPA kuna unit inayoitwa quantitative analysis ambayo ni hesabu tupu. Syllabus yenu ya accounting sio sawa na yetu. Yenu pengine haina mahesabu lakini yetu baadhi ya units zina hesabu.Hahahaha jamaa eti anasema kwenye Account kuna hesabu za kufa mtu. Sijawahi ona
Hayo mambo ya kuweka certificates nilishawaachiaga vijana wenye degree moja na wale ambao hawajiamini.Tony ashaweka certificates zake, ebu wewe pia weka zako tuone![]()