Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo mambo ya kuweka certificates nilishawaachiaga vijana wenye degree moja na wale ambao hawajiamini.

Also nimeshawaachia nyie wenye inferiority complex hamjiamini na ubogo wenu.

Kijana hebu weka certificates zako ambazo zipo verified also prove that hizo ulizoweka ni za kwako kweli. Zaidi ya hapo ni narrow thinking.
Umeskia mambo ya kuweka certificates umehara kila kitu enye iko ndani yako. Please show us your certificates hata kama ni za Nursery school just post them
 
Kwenye CPA kuna unit inayoitwa quantitative analysis ambayo ni hesabu tupu. Syllabus yenu ya accounting sio sawa na yetu. Yenu pengine haina mahesabu lakini yetu baadhi ya units zina hesabu.
Hahahahaha hesabu tupu!!! Hesabu zipi!?
Yaani quantitative analysis unaona ni ngumu!? Basi wewe huna basics za mathematics.

Mtu ambaye amesoma economics is more better than accountant. Maana kwenye economics tumesoma statistics.
 
Tony254 ebu ona venye jamaa ameshikwa na baridi after kuambiwa aweke certificates zake
Hayo mambo ya kuweka certificates nilishawaachiaga vijana wenye degree moja na wale ambao hawajiamini.

Also nimeshawaachia nyie wenye inferiority complex hamjiamini na ubogo wenu.

Kijana hebu weka certificates zako ambazo zipo verified also prove that hizo ulizoweka ni za kwako kweli. Zaidi ya hapo ni narrow thinking.
 
Akiweka certificates zake unitag tafadhali. Hata kama itapata kama nishakufa please just tag I may rise again
Kwanza hii ng'ombe ikiweka certificate ya degree ya Software engineering, nitamvulia kofia. Lakini kama ujuavyo, hawa watu ni mdomo kubwa wako nayo lakini kwenye proof ni zero. Hata nimeamua sitapost transcripts za degree yangu maana I am dealing with a child. Jamaa anasema anajua Cosmology na Metaphysics. Jamaa hajui kwamba Cosmology is a specialty of physics. Yaani kwenye most universities lazima ufanye undergraduate degree ya physics kwanza ndio uspecialize na masters ya Cosmology au Phd ya Cosmology. Cosmology ni specialty ya physics.
 
Umeskia mambo ya kuweka certificates umehara kila kitu enye iko ndani yako. Please show us your certificates hata kama ni za Nursery school just post them
Ndio maana nimesema uwezo wako wa kufikiri is so narrow. How come you use virtual name uweze kuweka real certificate kwenye public!? How can you verify it!?

Can you answer this question hahahaha.
Ninakupiga na kukufundisha ili ujue formula za kwenye mitandao ya kijamii.
 
Hahahahaha hesabu tupu!!! Hesabu zipi!?
Yaani quantitative analysis unaona ni ngumu!? Basi wewe huna basics za mathematics.

Mtu ambaye amesoma economics is more better than accountant. Maana kwenye economics tumesoma statistics.
Sema tu unataka nikupe transcripts zangu za economics. Hio nitafanya baada ya wewe kuweka certificate yako ya degree in software engineering. Halafu tena umebadilisha story. Sasa unasema kwamba umesoma economics na statistics? Wewe umechanganyikiwa.
 
Kwanza hii ng'ombe ikiweka certificate ya degree ya Software engineering, nitamvulia kofia. Lakini kama ujuavyo, hawa watu ni mdomo kubwa wako nayo lakini kwenye proof ni zero. Hata nimeamua sitapost transcripts za degree yangu maana I am dealing with a child. Jamaa anasema anajua Cosmology na Metaphysics. Jamaa hajui kwamba Cosmology is a specialty of physics. Yaani kwenye most universities lazima ufanye undergraduate degree ya physics kwanza ndio uspecialize na masters ya Cosmology au Phd ya Cosmology. Cosmology ni specialty ya physics.
I doubt kama huyo amemaliza Secondary school
 
Ndio maana nimesema uwezo wako wa kufikiri is so narrow. How come you use virtual name uweze kuweka real certificate kwenye public!? How can you verify it!?

Can you answer this question hahahaha.
Ninakupiga na kukufundisha ili ujue formula za kwenye mitandao ya kijamii.
Weka certificates zako kijana, hata kama ni za kuomba wewe weka tu
 
Asante kwa kujibu.
Sasa wewe kusomea bacteria and fungi utaniambia nini!?
Je umeweza kutengeneza hata virus yeyote. Na kama hujaweza kufanya Genetic Engineering basi unakariri tu.

Accountant ni Advanced Cashier.
Also tukija kuongelea ujuzi wangu.
Kijana mimi mult profession.
Ninajua
Mathematics, Cosmology, Metaphysics, Dar Energy, IT, Spiritual Knowledge, Political Science, Accounts, Intel etc.

Siwezi kuongea na mtu mwenye narrow thinking kama wewe.
Zaidi sana nakusaidia ili ukifikia umri wa miaka 30 at least uwe umejifunza vitu vingine. Achana na kukariri vitu vilivyoandikwa na wakoloni.

Be innovative and creative.
Bro si utusaidie na makaratasi yako ingekikua vyema zaidi
 
Tony umefanya vizuri kuweka certificates zako za Account. But sorry Account and Economics ni vitu viwili tofauti.

Accountant is just an Advanced CASHIER.
Also hizo certificates mbona kama masomo ya online!? Vilevile CPA any person can do that nothing special bro hapo.

Free online course dadeq 😁😁😁
 
Mathematics za Account is just plus and minus.
Hakuna calculus, Statistics, Trigonometric kwenye Accounts.
Kheeee!!mzee baba sio kila mtu anachukuliwa na kupachikwa katika hyo sector..
Acha dharau ndogo ndogo
 
Pole sana Tony254
What so special with CPA!? Unaweza ukaniambia kitu gani cha ziada zaidi ya double entry!?

Asset = Capital
Asset = Capital + Liability
Sasa zaidi ya credit and debit nini cha ziada.
Account does not own money.
Unasoma miaka yote hiyo kuhusu
1. Financial Position
2. Financial Performance
3. Cash flow
jaribu kutafuta certificate zingine kuhusu vitu vingine.
Kama Cosmology, Metaphysics, Philosophy, Dark energy, political science etc.

Lakini mambo ya Account ni ya kitoto.
Which mathematics are difficult in Account!?
Elimu ya kufungulia petty cash book 😁😁😁😁
 
Sema tu unataka nikupe transcripts zangu za economics. Hio nitafanya baada ya wewe kuweka certificate yako ya degree in software engineering. Halafu tena umebadilisha story. Sasa unasema kwamba umesoma statistics? Wewe umechanganyikiwa.
Transcripts za nini sasa kijana!? Mbona hapa hapa tu kuna maswali tunabanana unashindwa kuyajibu!?
Nimekuuliza zaidi ya double entry ni nini zaidi kwenye Accounts!?

Je, kwenye Accounts mnasoma Statistics, Culculus, Trigonometry!?
Hebu nijibu kwanza hapo.
 
Tony254 ebu ona venye jamaa ameshikwa na baridi after kuambiwa aweke certificates zake
Hahaha. Wachana na yeye. Hata wacha debate iishe tu juu arguing with a fool is not a good idea. The guy is a fool. Wachana na yeye. Tuendelee na mijadala mingine. Hii chapter tumefunga. I will not reply to his nonsense.
 
Back
Top Bottom