ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Wanatia saini kwa ajili ya phase two tena wamezungumza kutoka morogoro kwenda makutupora sikiliza vzr hahahhahahahahahahahahh naona unaumiaHusikii akisema wanatia sahihi ukopeshaji wa MKOPO na benki ya standard chartered? Au siku hizi kiswahili pia huelewi? Wewe hauna tafauti na huyu kilaza mwenzako anyeongea hapo. Eti Standard chartered bank ni benki ya Tanzania. Tangu lini?
sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣