Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
hata mziki royalties anazopata hamna mwanamziki Kenya anamfikia! uliza Sautisol wakwambie!Pesa anatoa wapi? Mziki tu?
hata mziki royalties anazopata hamna mwanamziki Kenya anamfikia! uliza Sautisol wakwambie!Pesa anatoa wapi? Mziki tu?
Moja ya benz anayomiliki alikiba pamoja na BMW X5Pesa anatoa wapi? Mziki tu?
Moja ya benz anayomiliki alikiba pamoja na BMW X5
Ana biashara nyingi sana sinimeshakujibu bro hujasoma auJibu swali.
Royalties haitoshi mboga kununua Merc G series. Unajua G wagon ni pesa ngapi?hata mziki royalties anazopata hamna mwanamziki Kenya anamfikia! uliza Sautisol wakwambie!
Wewe umeniwekea studio pekee. Hakuna biashara hata moja zaidi ya mziki uliyoniwekea.Ana biashara nyingi sana sinimeshakujibu bro hujasoma au
EA nzima hamna bridge la six lanes kama hilo! hata mtakayojenga Mombasa hayakuwa na 6 lanes!Kumbe hii ndio inaitwa Nyerere bridge. Halafu huwa inawaka usiku kweli?
Your problem ni kwamba private sector is dead ,hapa unatafuta excuse maana ujenzi wa magorofa huko kwenu mnategemea public sectorSasa tuache kujenga barabara tuendelee kujenga maghorofa? Mlisema mko na Barabara nyingi kutuzidi sasa ndio tunajikaza kufuta aibu ......
Nakumbuka mkenya m1 akiongea point ya muhimu (city sio maghorofa pekee ni infrastructures )
Ana bishara nyingi sana zingine mm siwezi kuzijua kwa undani kwasababu alikiba ni msanii anaeficha sana mambo yakeWewe umeniwekea studio pekee. Hakuna biashara hata moja zaidi ya mziki uliyoniwekea.
Majumba yake ya kifakhari hujayaona je??🤣🤣🤣🤣Wewe umeniwekea studio pekee. Hakuna biashara hata moja zaidi ya mziki uliyoniwekea.
Kumbe hii ndio inaitwa Nyerere bridge. Halafu huwa inawaka usiku kweli?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii picha nikiiona hua nacheka mwenyewe [emoji38][emoji38]
View attachment 1658528
Ila Wachina ndio bwana zenu huko Tzn na juzi Kati hapo mkuu Sana Magu katembeza bakuli kama ilivyo kawaida ya bongolalaswajinga ndo wali wao! hapa wanamsifu Mchina badala ya kumkosoa!
Ww sio tu mjinga ila hujitambui....bakuli kamulize uhuru anaelew vyema [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila Wachina ndio bwana zenu huko Tzn na juzi Kati hapo mkuu Sana Magu katembeza bakuli kama ilivyo kawaida ya bongolalas
basi kama hili halipo Kenya nzima kwanza Kenya nzima haina stand za ku-park mabasi haya huko Kenya!komora096 unajua hii ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1659607View attachment 1659608
We umezoea kusikia kigamboni bridge au co.Kumbe hii ndio inaitwa Nyerere bridge. Halafu huwa inawaka usiku kweli?
Ndio. Hii nilikuwa naijua kama kigamboni bridge. Labda kama mlibadilisha jina.We umezoea kusikia kigamboni bridge au co.
angekua beyonce POVU lisingekutoka ata!Huyo gigi money ndio nani? Halafu mbona siku hizi wasanii wa kike wamekosa nidhamu kabisa. Yaani zamani wasanii wa kike walikuwa wanatengeneza pesa kwa kuimba kwa sauti ya ninga kwa mfano Nyota ndogo. Lakini siku hizi wanatengeneza pesa kwa kupanua miguu na kuonyesha watu makalio hadi mtu anaweza kuona mavi. Yaani wamekosa talent kabisa.