Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 27,060
- 28,054
Mbona unajifanya huoni evidence Kutoka Turkey and I have posted it here twice?Huu ni wivu kuona kwamba Kenya hamkuweza kujenga hata sentimeta moja kwa kutumia pesa ya ndani.
Hadi sasa pesa iliyotumika kujenga ni $3.2B hadi Dodoma, Standard Chartered wametoa $1.46B, Sisi wenyewe tumetoa $1.7B, kama unabisha weka ushahidi kama huo wa Standard Chartered kuonyesha tunasaini kupokea hiyo $1.7B toka nchi au Bank yoyote ile
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Anajifanya haoni hizo links nne nimempa za Turkish loans 😂Usireason na mtu amekuja kutroll..
Weka kuonyesha lini Turkey ilitoa pesa, tuliomba sehemu nyingi sana na kuahidiwa lakini hakuna pesa iliyokwisha patikana. Sera yetu ni kwamba tunajenga wenyewe wakati huo huo tunaendelea kuomba mikopo nafuu, sio kama Kenya mnategemea mikopo by 100%, mikopo ikikosekana hamuwezi kujenga hata kilometer moja, ni aibu Sana.Evidence ndio hizo hapo juu
Not Diesel used DMU like yoursShow me Tanzanian trains.
BRT - flooding, overcrowding, delay ticketing, insecurity, accidents etcThat's why you are trying hard to Overrate your Old used diesel DMU?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Jibu swali wacha siasa.
Iyo sio ya SGR?
Signing ceremony ndio ushahidi wa kutoka kwa pesa, hukumbuki kwamba China ilikua tayari kutukopesha $7.6B, na ilishatangazwa duniani kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo wa China, mbona pesa haikutoka?Mbona unajifanya huoni evidence Kutoka Turkey and I have posted it here twice?
We ni mbwa Koko lakini hutembei. Njoo Dar usafishe macho. Those commuter rail stations ni kama miamvuli tu.zile za kujaa tope au ?
Hoja kwisha huyu.Duh!!! Godown
Read this article word by word. From the first sentence to the lastWeka kuonyesha lini Turkey ilitoa pesa, tuliomba sehemu nyingi sana na kuahidiwa lakini hakuna pesa iliyokwisha patikana. Sera yetu ni kwamba tunajenga wenyewe wakati huo huo tunaendelea kuomba mikopo nafuu, sio kama Kenya mnategemea mikopo by 100%, mikopo ikikosekana hamuwezi kujenga hata kilometer moja, ni aibu Sana.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Ya SGR ndio hii hapa chini.Iyo sio ya SGR?
Hahahaha, we don't have insecurity any where in Tanzania, remember BRT charges 25% of the amount charged by your Old used diesel DMU.BRT - flooding, overcrowding, delay ticketing, insecurity, accidents etc
Commuter- none of the above.
😂😂😂😂😂😂 what kind of urban transport isn’t overcrowded during rush hours? floods happen everywhere. What kind of insecurity are you talking about? And do you have any proof of delays in ticketing?BRT - flooding, overcrowding, delay ticketing, insecurity, accidents etc
Commuter- none of the above.
Iyo naifaham...Hiyo ni ya commuter trains. Ya SGR ndio hii hapa chini.View attachment 1663646
Read this article word by word. From the first sentence to the last
![]()
Turkey wins bid to finance, build $1.9b second phase of Tanzania railway
Firm met technical and financial requirements to clinch deal.www.google.com
Signing ceremony ndio ushahidi wa kutoka kwa pesa, hukumbuki kwamba China ilikua tayari kutukopesha $7.6B, na ilishatangazwa duniani kwamba Tanzania inajenga SGR kwa mkopo wa China, mbona pesa haikutoka?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Please show us the signing ceremony like that of Standard Chartered, without signing there is nor Money.Read this article word by word. From the first sentence to the last
![]()
Turkey wins bid to finance, build $1.9b second phase of Tanzania railway
Firm met technical and financial requirements to clinch deal.www.google.com