Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,115
- 17,838
Standard chatered wametoa pesa lini hebu tueleze π€£π€£π€£π€£
hebu wasililize waliosaini mkataba π π π πππππ mpaka kamasi zinakutoa
Husikii akisema wanatia sahihi ukopeshaji wa MKOPO na benki ya standard chartered? Au siku hizi kiswahili pia huelewi? Wewe hauna tafauti na huyu kilaza mwenzako anyeongea hapo. Eti Standard chartered bank ni benki ya Tanzania. Tangu lini?