Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Please show us the signing ceremony like that of Standard Chartered, without signing there is nor Money.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
So unataka nikulishe mdomoni kama mtoto? Hata pesa za standard chartered bank mlikataa the same way until you could deny no more. It's only a matter of time. Naona sasa mnaita standard chartered bank benki ya Tanzania just so you can lick your wounds 😂 😂
 
what kind of urban transport isn’t overcrowded during rush hours? floods happen everywhere. What kind of insecurity are you talking about? And do you have any proof of delays in ticketing?
Your BRT system is a failed one

 
usipende kupoteza mda na kutumia nguvu kubwa kwa kuforce mambo ambayo kila kitu kipo wazi

ushaambiwa zaidi ya mara mia ,ukweli ni kwamba phase 1 ya sgr 100% ni pesa ya government ila phase 2 ndiyo kuna kiasi cha pesa kutoka government vile vile kuna kiasi cha mkopo.....

usipende kupoteza mda wako for nothing mzee onyango
Pesa za ndani Kutoka uturuki 😂

 
You will never find something like this in our commuter trains.
So is yours!
FB_IMG_16067332070719957.jpeg
 
So unataka nikulishe mdomoni kama mtoto? Hata pesa za standard chartered bank mlikataa the same way until you could deny no more. It's only a matter of time. Naona sasa mnaita standard chartered bank benki ya Tanzania just so you can lick your wounds
Hakuna mtu aliyekataa, wewe ndio unakataa unapoambiwa kwamba pesa ya Standard Chartered imelipia kipande cha kutoka Morogoro to Dodoma, ambacho thamani yake ni $1.9B, na GoT imechangia $0.5B katika hicho kipande. Kipande cha Dar hadi Morogoro chenya kugharimu $1.2B ni pesa yetu 100%.

Wewe thibitisha kama kuna pesa yoyote iliyotoka kuchangia hiyo $1.2B. Lazima utuwekee "signing evidence" ya makabidhiano ya hiyo pesa, sio maneno ya magazetini, tuliahidi na nchi nyingi sana lakini hatukufanikiwa hata sehemu moja isipokua Standard Chartered, AfDB pia wameahidi kutoa lakini hadi sasa hawajotoa PESA.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Kituo cha mwendo kasi ndani ya Ubungo Terminal nadhaki kinaunganisha na kule Simu 2000.

View attachment 1663625
View attachment 1663626
View attachment 1663627
View attachment 1663628
View attachment 1663629

since ya kwenda bugurun kutokea ubungo haijajengwa.. it’s mean yakija hapo simu2000 kugeuzia kurudi ubungo yanageuzia pale junction barabaran Sam Nujoma road?? au yatageuzia hapohapo kituon jiran na mto??
palivyojengwa pale Nujoma road nilikuwa sijapaelewa ila now nadhan nimepaelewa
 
Back
Top Bottom