Watanzania kama mmeanza ku notice ni kwamba wakunya wameshaanza kuiogopa Tanzania, wameanza kudevelop kamsemo kwmb projects zote za Tz zinafanywa na serikali, for that issue it means they have agreed that our Government is strong enough to finance big projects, na kwmb wamekubali hata hii SGR from Dar to Moro has been financed by the mighty GoT(case closed).
Kuhusu serikali ya Tanzania kufanya kila kitu we have nothing to do with that shit because hatujaikataza serikali yao iache kuomba omba na kutia aibu East Africa, cz tunajua ni shida tu ndo zinafanya wajidhalilishe.
So ndugu zangu tuanze kutembea kifua mbele mana hawa monkeys wameshaanza kutuhofia, nenda platforms zote wimbo wao kwa ss ni huu "GoT inafanya kila kitu" as if ni dhambi kufanya hivyo