Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili daraja halina mvuto wowote, imagine Mombasa Gate bridge 70m high and 1.5km long,kitaeleweka tu🤣
Kitaeleweka lini ????🤣🤣🤣 Hebu ntajie mwaka utakaoeleweka🤣🤣👇👇👇
B8E16672-8E7B-4961-821A-FF832C8C3BDA.jpeg
 
so r u trying to say Ali Kiba can't afford that car? If a radio presenter Koinange in Kenya can afford, how about a top 5 artist in East Africa with a list of endorsements? unakuwa falamanga aisee!
Koinange sio wakumfananisha na kiba wewe, unafikiria ku afford ni sawa na matunzo yake ya hilo gari..
 
Ali Kiba is way richer than Koinange! As a matter of fact Ali Kiba can employ Koinange!
 
Anunue G-wagon si media zao zingeliwaka moto, kila mtu youtube ingelikua ndio ishu
Nakubaliana na wewe. G wagon ni ksh15 million kwa factory. Uje nayo Afrika ulipe tax ya 40% au nchi zingine hata 100% bei tayari imeshafika ksh 20 million au zaidi.
 
so r u trying to say Ali Kiba can't afford that car? If a radio presenter Koinange in Kenya can afford, how about a top 5 artist in East Africa with a list of endorsements? unakuwa falamanga aisee!
Wewe kasome historia ya Jeff Koinange. Kafanya hata na CNN ikiwemo ABC ya America na reuters. Wacha madharau mzee. Huyo sio radio presenter kama wengine. Huyo amepiga pesa ndefu sana. Halafu anatoka kwa Koinange family. One of the dynasty families in Kenya. Chief Mbiu Koinange alikuwa mtu mkubwa sana siku za zamani na alimiki shamba kubwa sana.
 
Dah kimeshanuka 😂😂😂😂

Diamond anaweza kupigwa mawe. Ajichunge sana. Kuenda kupokea pesa nyingi kwa nchi masikini kama hio inaweza kuleta masaibu kwake maana wale watu hata barabara ya lami nje ya Juba haipo. Wao bado wako katika 7th century. Nchi za Afrika zimekosa mwelekeo. Nchi masikini kama hio eti bado inataka kututumua misuli na kuonyesha kwamba inaweza kuleta msanii mashuhuri. Wajenge barabara kwanza.
 
Back
Top Bottom