Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna nyumbu anasema wanatupita kwenye mobile money transactions 😂😂😂
Polish_20201122_054013465.png
 
Huyo jamaa amepewa $25 million. Hongera kwake. Ni hatua nzuri lakini kwa innovation index mbona Kenya huwa iko ranked top 5 hapa Africa kila wakati na bodies kadhaa? Huwa tunawapiga sana kwenye rankings za innovation miaka nenda miaka rudi.
endeleeni kuwa ranking[emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂

Huyu achunge. Huko South Sudan anaweza kupigwa marisasi. Asipende pesa sana hadi anahatarisha maisha yake. Next utasikia anaenda Afghanistan kupiga show.
 
Huyu achunge. Huko South Sudan anaweza kupigwa marisasi. Asipende pesa sana hadi anahatarisha maisha yake. Next utasikia anaenda Afghanistan kupiga show.
Ww unafkiri anakwenda kipuuzi tu kwanza sikia bei za viingilio alaf ujue 🤣🤣
 
Back
Top Bottom