Asante.
Nimeweka hapa kwasababu ni kijiweni, huko kwengine niliacha kutembelea sana kwasababu ya wadau wengi kuwa na mitazamo hasi na maendeleo ya nchi yetu. Hapa ukiacha utani na vijembe huwa tunapeana taarifa za maendeleo.
Ni kweli kitakwimu Tanzania hakuna Corona, hii inachangiwa na vitu vingi kama hali ya hewa (joto), vyakula vya asili, kiasi cha UV light kilichopo na herd immunity inayotokana na young population kubwa (85% below 25yrs).
Pia Tanzania huwa haikubali chanjo za hovyo hovyo, baadhi ya hizi chanjo huwa zinapunguza immunity. Kuna study moja iliyofanyika US ikionesha watu waliopata flu shot mwaka jana walipopata Corona ilibidi wawekwe kwenye ventilators.