President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,033
- 93,389
Kwani upo Dar au mikoani!? Michai chai ipo kibao sokoni. Mwagize hata bodaboda akakuchulie fasta. Utakuja kushuhudia hapa. K-Vant tupilia mbali.Asante kaka, ila kuupata huo mchai chai itakuwa ni kitim tim.