Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania maskini ina nini? Hata wewe unajua mombasa port as we stand ndo the largest east africa upended usikonde upinge usipinge tanzania iko rated one of the poorest countries in africa msifanane maskini anaenda ninja nguo nzuri kufika umaskini
Mbona hujaweka zile emoji23 leo? 😂😂😂😂

Au sababu umevaa suit mpya?
Nilikutwanga na planned towns nikaona umeyeyuka jumla 😅😅😅
 
Do you have brain Au ni peanut? Sychelles is one of only two developed african countries in terms of gdp per capital,that is according to WB, You fool do some research before you come here with your nonsense
Si mimi nimeandika mumetoa data Google mkatuma huku na mimi pia nimetoa pale pale
 
Watanzania kama mmeanza ku notice ni kwamba wakunya wameshaanza kuiogopa Tanzania, wameanza kudevelop kamsemo kwmb projects zote za Tz zinafanywa na serikali, for that issue it means they have agreed that our Government is strong enough to finance big projects, na kwmb wamekubali hata hii SGR from Dar to Moro has been financed by the mighty GoT(case closed).

Kuhusu serikali ya Tanzania kufanya kila kitu we have nothing to do with that shit because hatujaikataza serikali yao iache kuomba omba na kutia aibu East Africa, cz tunajua ni shida tu ndo zinafanya wajidhalilishe.

So ndugu zangu tuanze kutembea kifua mbele mana hawa monkeys wameshaanza kutuhofia, nenda platforms zote wimbo wao kwa ss ni huu "GoT inafanya kila kitu" as if ni dhambi kufanya hivyo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hawana jipya hawa kunguni wakikenya
 
We have paved more than 12000+kms, when i asked you if you have brain I meant it cause you reason like a dumb
Videos from documentaries show otherwise..... you always exaggerate your figures just to feel you improving
 
View attachment 1663243
Kumbe tanzania is number 15 of the poorest nations in the world [emoji23][emoji23][emoji23]kelele tu ndo mingi mumezibwa macho mnadanganywa mkijendewa drama tu mnatangaza kwa redio
Hiyo ya kitambo mpya hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
JamiiForums483434554.jpg
 
Videos from documentaries show otherwise..... you always exaggerate your figures just to feel you improving
It seems you know nothing about Tz, we had 3000+kms of paved roads couple of years ago....don't be rigid and rely on false data just to feel superior
 
Hiyo ya kitambo mpya hii [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1663278
A third meaning two thirds are okay not a bad rating better than being in the top 20 poorest countries in the world hehe tanzania is poor just that it its government builds structures that don't really add much to the economy and you call that development development is more than just infrustracture don't behave like a poor man who wears suits.....
 
It seems you know nothing about Tz, we had 3000+kms of paved roads couple of years ago....don't be rigid and rely on false data just to feel superior
So if that's false data what makes the data you guys were using be legit? If data is positive to tanzania you glorify it if it says something negative it becomes fake data hehe pliiiiz
 
Tanzania maskini ina nini? Hata wewe unajua mombasa port as we stand ndo the largest east africa upended usikonde upinge usipinge tanzania iko rated one of the poorest countries in africa msifanane maskini anaenda ninja nguo nzuri kufika umaskini
Kumbe mlevi hata hueleweki, aliyemuelewa huyu mlevi plz.
 
Back
Top Bottom