ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Geza ni inferiority complex inamsumbuaHizi zote unazopost ni airstrips. Rudi darasani ukajifunze tofauti kati ya airport na airstrip. Kenya haina zaidi ya airports nane. Hizo zingine zote ni airstrips.
hawa jamaa utabishana nao hadi yesu arudi, unajipotezea mda bure...mtu yeyote mwenye exposure na akili timamu anajua nation media group is the largest media company in east and central africaSio kweli.
Pwahahahahaha. Tumewafinya mpaka mnajikojolea wenyewe. Kenya Under Queen Elizabeth Empire.hawa jamaa utabishana nao hadi yesu arudi, unajipotezea mda bure...mtu yeyote mwenye exposure na akili timamu anajua nation media group is the largest media company in east and central africa
Nimekuambia JKIA pekee yake inapokea abiria wengi kushinda airport zenu zoteHz zote umelist hapa ni ushuzi wa bundi, hakuna hata moja inayokaribia Zanzibar airport achilia mbali JNIA [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tumeshalifanyia kazi hili, pia hata port tayari tushamaliza mchezo so subiri data mpya.
Hakuna kitu hata kimoja Kenya inapaswa kuizidi Tz labda ukabila, njaa, umasikini uliopitiliza, nepotism, ushenzi na magonjwa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hizo stori zilipendwa. Mambo yamevmbadikika sana. Hebu tupatie ripoti ya 2020. KwikwikwiNimekuambia JKIA pekee yake inapokea abiria wengi kushinda airport zenu zote
Weka ripoti ya 2020 tuone. Wewe unaongelea ripoti za zamani za kale budaKwenye idadi ya abiria kwa airport na idadi ya mizigo inayopakuliwa kwenye port hamutawahi kutufikia.
It is likely that the KTX model is the one that was ordered by the government. They’ve already sent Tanzanians to South Korea to learn about operating such trains. Lakini mimi naona wataleta ITX.
ITX train
View attachment 1662836View attachment 1662837
Kicha ulio nayo ni next level ...embu jikune upele ulete three ties like this one[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji116]pimbi wwView attachment 1662846
Hawa jamaa usireason nao, wamekuja kutroll. Wewe pia troll ukipata nafasi.hawa jamaa utabishana nao hadi yesu arudi, unajipotezea mda bure...mtu yeyote mwenye exposure na akili timamu anajua nation media group is the largest media company in east and central africa
Tanzania sector ya land transportation especially mabus imechangamka sana.Wacha kabisa mkuu, niliweka picha hapa eti Tony254 akasema ni kwasababu mpya wkt ishapiga mzigo vya kutosha kabisa, hajui kwmb ili uwe na wateja bongo inatakiwa uwe na bus za kisasa, ona eti tony anasema ni mpya hii[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1662768View attachment 1662770
Nazo c ni bullet?It is likely that the KTX model is the one that was ordered by the government. They’ve already sent Tanzanians to South Korea to learn about operating such trains. Lakini mimi naona wataleta ITX.
ITX train
View attachment 1662836View attachment 1662837