Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hio award haina uhusiano wowote na number of tonnes zinazopakuliwa. Kumbuka Durban port ndio inayopakua mizigo mengi zaidi hapa Afrika na wao hawakushinda. Halafu hio award ni kuhusu cruise port. Sasa sijui pengine tatizo ni kuwa huelewi maana ya neno cruise port.
Shida inaanzia hapa
JamiiForums-466423354.jpg
 
Kenya has only 18 known airports
Tanzania has 21
Fimbo baada ya fimbo. Chato ikisajiliwa zinafika 22
View attachment 1663181View attachment 1663182
Nilishawaambia tuwewapiga gap kwenye airports pia Tony254 akabisha! sasa ku-mention airports zao mbovumbovu kaamua kuzikana! wangoje gap lingine kwa SGR baada ya train zetu kuwasili toka South Korea! Kwenye marine services hawatukaribii hata kiduchu as far as marine vessels operation is concerned!
 
My friend hamtawahi kuwa na more passengers in your airports than us. Hamtawahi kupakua tani nyingi za mizigo in your ports kutushinda. Mark my words.
Mambo yanabadilika sana katika hii dunia ya leo hivyo usishangae kuona port yenu ikaja kupitwa na dar port. Infact, dar port ilikuwa kama neglected na awamu tatu za uongozi wa nchi yetu zilizopita (about 30 years) ndio maana Mombasa port ikatake over. Dar port ina fursa ya kupokea na kusafirisha mizigo mingi zaidi kuliko mombasa port kutokana na strategic location yake. Pia upanuzi wa hii bandari unaoendelea sasa utaifanya bandari ya dar ku-handle mizigo mingi zaidi kuliko awali.

Kuhusu JKIA kuwa na passengers wengi kuliko JNIA ni kwamba shirika letu la ndege lili-collapse kwa zaidi ya miaka 25 na hivyo kufanya DIA (Dar es Salaam International Airport- Later JNIA) kutegemea tu ndege za mashirika mengine ya ndege kuleta na kuchukua abiria. Huwezi kuwa hub ya air transport kama nchi haina ndege zake . Hivyo kwa sasa tunapambana kuhakikisha kwamba hicho unachojiapiza kinakwenda kuwa historia. This is why tumenunua ndege na tuna endelea kununa ndge za kutosha na tumepanua uwanja wetu wa ndege ili kuhandle abiria wengi zaidi. The only thing needed here is only good mgt of our airline.
 
Back
Top Bottom