Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Kwasababu uchumi wenu upo mikononi mwa wazungu, hawawezi ruhusu serikali kumiliki biashara ambazo wao wanafanyaSawa basi nionyeshe mall yoyote Kenya ambayo inamilikiwa na serikali. Hamna



Sio hotels na malls tu. Hata skyscrappers nyingi Dar nimenotice zimejengwa na serikali. Nyie hamna skyscrappers nyingi ndefu ambazo zimejengwa na private sector. Skyscrappers zinastahili kujengwa na sectors zote mbili, sio moja tu.Ila in the US zipo! wacha ku-distort capitalism fala wewe! Sema in Kenya serikali hairuhusiwi na usijaribu kumaanisha ni capitalism! Sema crooked politicians wenyu wanazuia kulinda interests zao kwenye their existing establishments! una wivu wa kijinga mzee!
![]()
Measuring the Success of Publicly Owned Hotels
It can be difficult to measure whether publicly owned hotels are performing as expected, driving convention business, or both.www.hotelnewsnow.com
Tunajenga kulingana na mahitaji ya eneo husika, sio ninyi mnajenga station kubwa za reli vijijini zinaishia kuwa magofuMbona airport terminal ni ndogo sana?
Ni vizuri kama hawaruhusu mifugo maana kuku wataanza kunya ovyo ovyo kwenye basi.Gunia utaruhusiwa ila mifugo sidhani, huwa inasumbua kdg kuhusu mifugo, labda wenzangu wanajua hilo but kwa experience yangu huwa sioni tukisafiri na mifugo.
Just like in the US and the whole western world pension funds invest! Name me one tower built by GoT aside its offices in Government city in Mtumba Dodoma!Sio hotels na malls tu. Hata skyscrappers nyingi Dar nimenotice zimejengwa na serikali. Nyie hamna skyscrappers nyingi ndefu ambazo zimejengwa na private sector. Skyscrappers zinastahili kujengwa na sectors zote mbili, sio moja tu.
Ujamaa vs Ubepari. Mapato yatokanayo na " investments" za serikali hutumika kujenga shule, reli, Hospitali na huduma zingine za kijamii, hiyo ndio sababu TZ tunajenga miradi mikubwa kwa pesa yetu.Sio hotels na malls tu. Hata skyscrappers nyingi Dar nimenotice zimejengwa na serikali. Nyie hamna skyscrappers nyingi ndefu ambazo zimejengwa na private sector. Skyscrappers zinastahili kujengwa na sectors zote mbili, sio moja tu.
Tz private sector ni hafifu ndo maana serikali ilipositisha ujenzi wa magorofa nayo real estate yao ikacollapseSio hotels na malls tu. Hata skyscrappers nyingi Dar nimenotice zimejengwa na serikali. Nyie hamna skyscrappers nyingi ndefu ambazo zimejengwa na private sector. Skyscrappers zinastahili kujengwa na sectors zote mbili, sio moja tu.
Nyie niwarefu zaidi






Nitakuonyesha nani fala kati yangu na wewe. Hapa Kenya sectors zote mbili zinajenga skyscrappers, sio kama huko kwenu ambapo public sector ndio inajenga skyscrappers sana. By the way neno serikali ina jumlisha hata parastatals na pension funds za kiserikali. Neno private sector inamaanisha kampuni za kibinafsi kama Tigo, Vodacom TZ, Airtel TZ, CRDB bank, NMB bank, Tanzania breweries Ltd na kadhalika. Nipe picha tatu za skyscrappers (with more than 25 floors) Dar ambazo hazijajengwa na halmashauri yoyote ya kiserikali au pension fund ya kiserikali.Just like in the US and the whole western world pension funds invest! Name me one tower built by GoT!
Wacha usenge wa kupotosha all the tall buildings in Dar have been built by parastatals or government agencies (NIDA, TPA, TTCL, TCRA e.t.c) and not GoT directly the same thing is happening in Kenya and worst enough stalled as corrupt officials have fleased the funds!
Unajifanya unajua kumbe fala wa kupotosha!
Hawa jamaa ni wajinga sana.Just like in the US and the whole western world pension funds invest! Name me one tower built by GoT!
Wacha usenge wa kupotosha all the tall buildings in Dar have been built by parastatals (NSSF, LAPF, PSPF e.t.c) or government agencies (NIDA, TPA, TTCL, TCRA e.t.c) and not GoT directly the same thing is happening in Kenya and worst enough stalled as corrupt officials have fleased the funds!
Unajifanya unajua kumbe fala wa kupotosha! KPA Mombasa na NSSF Nairobi nani kajenga? Kenya teleposta, KICC? Au unatufanya sisi wafala kama wewe? Wivu unakusumbua kuona miradi ya taasisi za serikali wakati kwenu taasisi zinashindwa ku-invest!
Serikali yoyote lazima iwe stronger kuliko private sector, kinyume chake matajiri watakua na nguvu kuliko viongozi kama ilivyo huko Kenya, viongozi ni vibaraka wa matajiri, wananchi wa kawaida wanateswa na kunyanyaswa na matajiri na hawana wa kuwatetea.Tz private sector ni hafifu ndo maana serikali ilipositisha ujenzi wa magorofa nayo real estate yao ikacollapse
Wewe ni mpuuzi na mjinga kaa kimya usitake tufanane.Nitakuonyesha nani fala kati yangu na wewe. Hapa Kenya sectors zote mbili zinajenga skyscrappers, sio kama huko kwenu ambapo public sector ndio inajenga skyscrappers sana. By the way neno serikali ina jumlisha hata parastatals na pension funds za kiserikali. Neno private sector inamaanisha kampuni za kibinafsi kama Tigo, Vodacom TZ, Airtel TZ, CRDB bank, NMB bank, Tanzania breweries Ltd na kadhalika. Nipe picha tatu za skyscrappers (with more than 25 floors) Dar ambazo hazijajengwa na halmashauri yoyote ya kiserikali au pension fund ya kiserikali.
Wacha masihara ...embu taja skyscrapper moja iliyo jengww na serikali moja tu...Sio hotels na malls tu. Hata skyscrappers nyingi Dar nimenotice zimejengwa na serikali. Nyie hamna skyscrappers nyingi ndefu ambazo zimejengwa na private sector. Skyscrappers zinastahili kujengwa na sectors zote mbili, sio moja tu.
wivu unawasumbua wanajua katika hiyo front wamefeli! Kinachobaki ni kudai kila jengo linajengwa na serikali!Hawa jamaa ni wajinga sana.
Kwaiyo uhafif umefany serikal kuongeza ukusanyaji wa kodi...nyie ni kichaa inawasumbuaTz private sector ni hafifu ndo maana serikali ilipositisha ujenzi wa magorofa nayo real estate yao ikacollapse
Sio kunya tu kwa watu wastaarabu km watanzania hatuwezi kusafiri na mifugo ndani ya bus, kuna usafiri wakeNi vizuri kama hawaruhusu mifugo maana kuku wataanza kunya ovyo ovyo kwenye basi.


Wewe umechanganyikiwa. Tanzania iliwacha kuwa nchi ya kijamaa zaidi ya miaka ishirini iliyopita. Wewe hata hujui historia ya nchi yako. Yaani bado unafikiri kuwa Tanzania ni socialist country? Baada ya Mwalimu Julius Nyerere kufariki, Watanzania walikaa chini na kujadiliana na kukubaliana kuwa mfumo wa ujamaa sio nzuri kwa uchumi wa Tanzania na Tanzania ikaamua kubadili mfumo wa uchumi kutoka socialist hadi capitalist. Jifunze historia ya nchi yako kabla uje kudebate na mimi.Ujamaa vs Ubepari. Mapato yatokanayo na " investments" za serikali hutumika kujenga shule, reli, Hospitali na huduma zingine za kijamii, hiyo ndio sababu TZ tunajenga miradi mikubwa kwa pesa yetu.