The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ka edit nani ss km sio Uhuru na genge lake la wahuni wa jubileeYaani una poteza muda wako kufanya picture editing namna hii?




Ka edit nani ss km sio Uhuru na genge lake la wahuni wa jubileeYaani una poteza muda wako kufanya picture editing namna hii?




Wacha chuki babaa. "Uchafu wa Kunya" ndio kusema nini sasa?Tueshimiane sina huo mda mchafu wa kuedit uchafu wa kunya, upo hivyo na utaendelea kuwepo hvyo
Pole tunakuombea upone haraka. Lakini umepost kwa forum hii kimakosa maana hawa Wabongo wenzako hawaamini kwamba corona ipo na wanaweza kukukejeli kwa kupost habari hii hapa JF. Upo nchi gani mdau maana niko sure haupo Tanzania?Habari zenu wadau wa kijiwe chetu, sikukuu yangu haikuwa nzuri sana, nilisikia homa, baridi na kichwa kuuma. Juzi nilipima na kukuta nina Corona. Niko poa kwa sasa ila naona uwezo wa kunusa umepotea.
Hii ni rapid test kit niliyotumia kujipima, inachukua dakika 15 kupata majibu.
Before
View attachment 1662539
After
View attachment 1662540
Tatizo ni kuwa hili basi mpya litakuja kuchakaa haraka sana. Mtaanza kubeba gunia za viazi humo ndani. Hata kuku mtawabebea humo ndani na wataanza kuhara humo ndani.Fananisha na hii, leo nikitoka kwenye miangaiko yng pande za mji kasoro bahari, Morogoro.
Angalia bus ilivyo standardView attachment 1662531View attachment 1662532
Lakini haifunguki na kujifunga kama likoni floating bridge sio?Exactly hii temporary bridge inabeba vifaru, cranes, ma-winch u name it! Wakati Likoni footbridge hata tuktuk haipiti!
Asante.Pole tunakuombea upone haraka. Lakini umepost kwa forum hii kimakosa maana hawa Wabongo wenzako hawaamini kwamba corona ipo na wanaweza kukukejeli kwa kupost habari hii hapa JF. Upo nchi gani mdau maana niko sure haupo Tanzania?
Wala sio chuki ni km tu unavyo ita nchi ya malazy na bado tunawalisha , ww uliwai kuona wapi ukipingwa kusema hvyo...mbna hatusemi ni chukiWacha chuki babaa. "Uchafu wa Kunya" ndio kusema nini sasa?
Pole ndug, tupo pamoja jitaid kwa kutumia vitu vyet vya kienyej utaregain faster,wish you all the best..Habari zenu wadau wa kijiwe chetu, sikukuu yangu haikuwa nzuri sana, nilisikia homa, baridi na kichwa kuuma. Juzi nilipima na kukuta nina Corona. Niko poa kwa sasa ila naona uwezo wa kunusa umepotea.
Hii ni rapid test kit niliyotumia kujipima, inachukua dakika 15 kupata majibu.
Before
View attachment 1662539
After
View attachment 1662540
Asante, napiga nyungu kama sina akili nzuri, asikwambie mtu ile kitu inafanya kazi.Pole ndug, tupo pamoja jitaid kwa kutumia vitu vyet vya kienyej utaregain faster all thee best
Halmashauri ya Jiji inajenga kutokana na Maputo yake tena mbili one 11 floors another 6-7 with a shopping mall and conference center below! Kuna sababu kwanini Tanzania haina sehemu zinakaa Turkana! BTW ur GoK is broke so i won't be surprised! wacha wivu wa kike!
Kwahiyo hamna madaraja yanafunguka na kufunga yenye capacity kama Busisi-Kigongo?Lakini haifunguki na kujifunga kama likoni floating bridge sio?
Habari zenu wadau wa kijiwe chetu, sikukuu yangu haikuwa nzuri sana, nilisikia homa, baridi na kichwa kuuma. Juzi nilipima na kukuta nina Corona. Niko poa kwa sasa ila naona uwezo wa kunusa umepotea.
Hii ni rapid test kit niliyotumia kujipima, inachukua dakika 15 kupata majibu.
Before
View attachment 1662539
After
View attachment 1662540
Asante kaka.Pole sana mkuu Chamoto, Upone haraka .
Jifukize michai chai. Hiyo ni dawa unapona kwa haraka.Habari zenu wadau wa kijiwe chetu, sikukuu yangu haikuwa nzuri sana, nilisikia homa, baridi na kichwa kuuma. Juzi nilipima na kukuta nina Corona. Niko poa kwa sasa ila naona uwezo wa kunusa umepotea.
Hii ni rapid test kit niliyotumia kujipima, inachukua dakika 15 kupata majibu.
Before
View attachment 1662539
After
View attachment 1662540
Nani anataka kuwa Capitalist?, hahaja, ninyi ndionatamani muwe Socialist ili muepukane na Slums, tribalism, Nepotism, big gap between rich and poor, land grabbers, Nani anataka huo ujinga?.




Ujezi ni 36months plus six months ya mobilazation. Yapi walishinda zabuni Nov 2017, hivyo ukijumlisha miezi yote hiyo utaona kuanzia June 2018 - Dec 2020 hiyo ni miezi 30. Bado wana miezi sita.Ilikuwa ikabidhiwe mwisho wa 2019. Wacha uongo
Asante kaka, ila kuupata huo mchai chai itakuwa ni kitim tim.Jifukize michai chai. Hiyo ni dawa unapona kwa haraka.
Mimi kipindi cha mwezi wa nne niliipata nilikuwa najifukiza michai chai na kunywa K-Vant ilipotea fast. Huo ni ugonjwa wa kawaida sana.
Mwambie hizi hapa ndizo kanuni za ujamaa zilizoainishwa kwenye azimio la ArushaNani anataka kuwa Capitalist?, hahaja, ninyi ndionatamani muwe Socialist ili muepukane na Slums, tribalism, Nepotism, big gap between rich and poor, land grabbers, Nani anataka huo ujinga?.
Sisi huku tunawapelekea wananchi vijijini huduma za maji, elimu, na afya bure bila malipo, ardhi inamilikiwa na umma, kila raia anayo haki ya kupata ardhi kwa ajili ya kujipatia chakula na makazi bure, nani anataka ubepari?![]()