eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Ndiyo maana huwa nawaambia hawa wakunya kwamba maendeleo siyo maghorofa na barabara za Nairobi tu. Tz tunajitahidi kuwekeza kwenye social services katika kila sector ya maisha kila mkoa, na wilaya na ushahidi huwa tunawakea humu humu jf lakini wao wamebaki kupost vipicha vya maghorofa ya Nairobi tu. 😀 😀 😀
Halafu ukiwakumbusha kuwa hawa nao ni wakenya. Wanang'aka!!!

