Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

angekua beyonce POVU lisingekutoka ata!
anyway huyo ni entertainer yupo kazini wala atumii nguvu sana anakula kiulainiiiiii industry inammbeba!!
Usipate presha. Nimeenda kumtazama youtube nimeona wimbo zake zina views chini ya milioni moja. Ana wimbo moja tu iliyo na zaidi ya 1 million views. Huyo bado msanii mdogo sana.
 
Usipate presha. Nimeenda kumtazama youtube nimeona wimbo zake zina views chini ya milioni moja. Ana wimbo moja tu iliyo na zaidi ya 1 million views. Huyo bado msanii mdogo sana.
ndio ni msanii mdogo
 
View attachment 1659631

Beam laying on Nairobi expressway commenced on 21 December 2020.
Kwenye miji mizuri viaduct huwa za trains sio express way...but anyway am not kunyan
Screenshot_20201225-171137.jpg
 
Your problem ni kwamba private sector is dead ,hapa unatafuta excuse maana ujenzi wa magorofa huko kwenu mnategemea public sector
Kwani Kenya na Nairobi in perticular umekuta hawajengi barabara? Barabara zinajengwa tena classic kuliko zenu na magorofa ya kutetemesha Africa yanasimamishwa daily
Tukiwaambia muache ujamaa unawafanya kuwa wavivu na maskini mnabisha,yakowapi sasa
Private sector is dead?kwahyo government inakusanya revenue kutoka wapi? Tumia akili iyo kidogo uliotumia kutype basi

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Your problem ni kwamba private sector is dead ,hapa unatafuta excuse maana ujenzi wa magorofa huko kwenu mnategemea public sector
Kwani Kenya na Nairobi in perticular umekuta hawajengi barabara? Barabara zinajengwa tena classic kuliko zenu na magorofa ya kutetemesha Africa yanasimamishwa daily
Tukiwaambia muache ujamaa unawafanya kuwa wavivu na maskini mnabisha,yakowapi sasa
private sector imekufa kivipi??na wakati dsm ndio hii sasa inaiacha nairobi??

barabara classic nnayoiona hapo ni hiyo thika,hiyo ya juu ni total scam,huamini subiri uone mchina akikukamua mafuta.
 
Back
Top Bottom